[text] Hotuba ya KUB - Wizara ya Fedha na Mipango na maoni kuhusu hali ya uchumi, makadirio na matumizi

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA HALIMA JAMES MDEE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2016/17 
Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 
_________________________ 
1. UTANGULIZI 

Mheshimiwa Spika, Mwanafalsafa Baron Montesquieu aliwahi kuandika ifuatavyo kuhusu mgawanyo wa madaraka “Pale ambapo madaraka ya Bunge na ya Serikali kuu yanakuwa yamehodhiwa na mtu mmoja, au katika chombo hicho hicho cha hukumu, hakutakuwa na uhuru, kwa sababu hofu itazuka, utawala huo huo au bunge litatunga sheria kandamizi na kuzitekeleza kwa mfumo kandamizi. Pia hakutakuwa na uhuru endapo madaraka ya Mahakama, Bunge na Serikali hayatatenganishwa. Pale ambapo madaraka ya Serikali kuu yanapokuwa yamefungamanishwa na Bunge, uhai wa Bunge na Uhuru wake unakuwa katika hatari kubwa ya kudhibitiwa kiholela: kwa kuwa Jaji hawezi kuwa mtunga sheria. Pale ambapo Serikali kuu imefungamanishwa na mahakama, basi Jaji anaweza kuwa na tabia ya mabavu na ukandamizaji. Inakuwa mbaya zaidi, pale ambapo mtu huyo huyo au chombo hicho hicho, iwe ni wateule wa Serikali au watu wengine wanapotumia hayo madaraka ya kutunga sheria, kutekeleza maazimio ya umma na kutoa hukumu za jinai au tofauti za watu”

Price drop on British Style Breathable Men's Leisure Shoes $20 (reg. $52)

 Available at Amazon

Mens Stefan Black Suede Trim Retro Fashion Sneakers

Available at Amazon for $29.99 & FREE Returns on some sizes and colors.

Tanzania yamhukumu kifungo cha maisha raia wa Togo; Miaka 25 raia wa Afrika Kusini

Moshi. Mfanyabiashara raia wa Nigeria, Joachim Ikechukwu Ike (36), amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha kilo 6,969.38 za dawa za kulevya aina ya Heroin.

Ike ambaye alikamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (Kia), Mei 11,2013, amehukumiwa adhabu hiyo jana na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Benedict Mingwa.

Jaji Mingwa amesema upande wa mashtaka ukiongozwa na Wakili mwandamizi wa Serikali, Tamari Mndeme, umeithibitishia mahakama kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo.

Awali, Tamari akisaidiana na mawakili wenzake waandamizi,Saraji Iboru na Jullius Semali, alidai mshtakiwa alikuwa anataka kusafirisha dawa hizo zenye thamani ya Sh313.6 milioni kwenda Burkina Faso.

************************

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi imemhukumu kifungo cha maisha gerezani raia wa Togo, Josiane Dede (25) kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya shilingi 116/= milioni.

Akitoa hukumu hiyo juzi, Jaji wa Mahakama hiyo, Benedict Mwingwa alisema imeridhika na ushahidi uliotolewa na mashahidi tisa wa upande wa mashtaka.

Alisema kutokana na ushahidi huo, Mahakama inamtia hatiani mshtakiwa huyo kwa kosa la kusafirisha dawa hizo zenye uzito wa gramu 1,989 kinyume cha Sheria namba 6 kifungu cha 31 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2012.

Jaji Mwingwa alisema mwaka 2013, mshtakiwa huyo alikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa na mabegi mawili, moja likiwa na dawa hizo.

Akitoa utetezi kabla ya hukumu kutolewa, wakili wake, David Shiratu alidai kuwa mteja wake anaiomba Mahakama kumpunguzia adhabu kwa sababu ni mwanafunzi wa utalii katika Chuo Kikuu cha Togo na familia yake pamoja na nchi yake inamtegemea.

************************

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imemhukumu kifungo cha miaka 25 jela na kulipa faini ya Sh3.19 bilioni raia wa Afrika Kusini, Vuyo Jack, baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya zenye uzito wa kilo 42.5.

Pia, Mahakama hiyo imeamuru kutaifishwa kwa gari lenye namba za usajili CA-508-650 aina ya Nissan lililokuwa likiendeshwa na raia huyo ambalo lilikutwa na dawa hizo na fedha zitakazopatikana zitaingizwa kwenye mfuko wa Serikali.

Akitoa hukumu hiyo, Jaji Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Noel Chocha alisema korti imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka na kwamba, adhabu hiyo itaanza kuhesabiwa tangu siku aliyokamatwa raia huyo Novemba 18, 2010.

Awali, akitoa maelezo katika hukumu hiyo ambayo ilichukua zaidi ya saa nne, Jaji Chocha alisema baada ya mtuhumiwa huyo kukamatwa katika mpaka wa Tunduma, kamati ya ulinzi na usalama ikiwa na ofisa wa kuzuia dawa za kulevya ilifanya ukaguzi wa gari hilo na kukuta paketi za dawa hizo zilizokuwa zimewekwa maeneo mbalimbali na kwenye chasesi.

Alisema baada ya ukaguzi huo ulifanyika uchunguzi wa awali kupitia mtaalamu wa dawa za kulevya chini ya kamati hiyo na kuzikuta zikiwa na uzito huo.

Mwendesha mashtaka, Wakili wa Serikali, Joseph Pande akisaidiana na Rogers Francis aliieleza Mahakama kuwa hakuna kumbukumbu inayoonyesha mtuhumiwa aliwahi kutenda kosa kama hilo, lakini aliiomba itoe adhabu kali.

Akitoa utetezi, wakili wa kujitegemea aliyeombwa na Mahakama hiyo kumtetea raia huyo, Ladislaus Lweikaza aliiomba kumpunguzia adhabu kutokana na kukaa miaka sita gerezani akiwa mahabusu.
  • via MWANANCHI

Man-made global warming fight: Scientists turn heat-trapping CO2 gas into harmless stone

AP

WASHINGTON – Scientists have for the first time found a quick way — but not a cheap one — to turn heat-trapping carbon dioxide gas into harmless rock.

Experts say the results of a two-year, $10 million experiment called CarbFix, conducted about 540 meters deep in the rocks of Iceland, offer new hope for an effective weapon to help fight man-made global warming.

When an international team of scientists pumped a carbon dioxide and water mix into underground basalt rocks, basic chemistry took over. The acidic mixture dissolved the rocks’ calcium magnesium and formed limestone, a permanent natural jail for the heat-trapping gas, according to Juerg Matter of the University of Southampton in England. He is the lead author of a study detailing the experiment published Thursday in the journal Science.

“It’s no longer a gas,” Matter said. “Basically, carbon dioxide is converted into stone.”

Scientists, who had done this before in the lab, thought the process could take thousands or even hundreds of thousands of years. But after just two years, 95 percent of the gas was captured and converted, the study said.

“It’s what we hoped for . . . and in some ways better,” said David Goldberg, a Columbia University geophysicist who wasn’t part of the team but praised it. “What’s going on here is a natural process being accelerated.”

One of the methods to battle climate change, in addition to reducing fossil fuel emissions, is to capture carbon dioxide from the air or power plants.

“Carbon capture is not the silver bullet, but it can contribute significantly to reducing carbon dioxide emissions,” Matter said.

However, carbon capture carbon can be expensive — especially the capturing part. Once the gas is grabbed from the air, storing it is another issue. It can be stored underground and is sometimes injected in depleted oil wells, but there are concerns about monitoring it and preventing it from escaping.

Injecting it into basalt and letting nature take its course can solve that problem. But at $17 per ton of carbon dioxide, it can cost a couple times more than injecting it into old wells, Matter said.

There is basalt all over the world, in places like the Pacific Northwest, India and South America, Matter said.

But even more promising is the ocean floor, which is full of basalt and a good place to store the carbon dioxide, Goldberg said.

CarbFix is just a small scale test — using about the equivalent of the annual carbon dioxide emissions of 15 Americans — but if it can be scaled up at a low cost, “it would be very good news,” said climate scientist Ken Caldeira of the Carnegie Institution for Science, who was not part of the study.

Story by The Associated Press via japantimes.co.jp

Tanzania na Zambia zatia saini makubaliano ya kudhibiti usafirishaji mazao ya misitu


Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili, Maj. Gen. Gaudence Milanzi (katikati) akisaini hati ya makubaliano jijini Dar es Salaam jana kati ya Serikali ya Tanzania na Zambia ya kukabiliana na changamoto za udhibiti wa usafirishaji wa mazao ya misitu hususan magogo katika mpaka wa nchi hizo. Wanaoshuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili, Gladynes Mkamba na Kaimu Mtendaji Mkuu TFS, Richard Kamwenda (kushoto). Waliosimama kulia ni Mwanasheria wa TFS, David Mung’ong’o na Mwanasheria wa Wizara ya Maliasili, Stephen Mwamasenjele.

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Maliasili na Hifadhi ya Mazingira wa Serikali ya Zambia, Trevor Kaunda akisaini makubaliano hayo.

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili, Maj. Gen. Gaudence Milanzi (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Maliasili na Hifadhi ya Mazingira wa Serikali ya Zambia, Trevor Kaunda wakibadilishana hati ya makubaliano waliyosaini kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za udhibiti wa usafirishaji wa mazao ya misitu hususani magogo katika mipaka ya nchi hizo.

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili, Maj. Gen. Gaudence Milanzi akizungumza katika hafla ya kuweka makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Zambia jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za udhibiti wa usafirishaji wa mazao ya misitu hususani magogo katika mipaka ya nchi hizo. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Maliasili na Hifadhi ya Mazingira wa Serikali ya Zambia, Trevor Kaunda.

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili, Maj. Gen. Gaudence Milanzi (kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Maliasili na Hifadhi ya Mazingira wa Serikali ya Zambia, Trevor Kaunda wakiteta jambo wakati wakikagua Makontena 103 ya magogo (nyuma pichani) yaliyokamatwa hivi karibuni katika bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini Zambia na DRC. Makatibu Wakuu hao wamesaini makubaliano ya kukabiliana na changamoto za udhibiti wa usafirishaji wa mazao ya misitu hususani magogo kwenye mipaka wa nchi hizo.

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili, Maj. Gen. Gaudence Milanzi (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Maliasili na Hifadhi ya Mazingira wa Serikali ya Zambia, Trevor Kaunda wakiangalia sehemu ya magogo yaliyokamatwa hivi karibuni katika bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini Zambia na DRC. Makatibu Wakuu hao wamesaini makubaliano ya kukabiliana na changamoto za udhibiti wa usafirishaji wa mazao ya misitu hususani magogo kwenye mipaka wa nchi hizo.

Taarifa ya habari ChannelTEN Juni 10, 2016CHADEMA yafungua kesi dhidi ya polisi; Mbowe amjibu NS Tulia kuhusu kufutwa posho za wabunge wanaosusa vikao


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimefungua kesi ya madai Mahakama Kuu kanda ya Mwanza ya kupinga amri ya jeshi la polisi nchini kuzuia mikutano ya hadhara na maandamano ya vyama vya siasa, iliyotolewa Juni 7 mwaka huu na kamishna wa polisi Operesheni na Mafunzo, Nsato Mssanzya.

Kesi hiyo ya madai namba 79/2016 imefunguliwa leo majira ya saa tisa alasiri na mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe kwa niaba ya chama hicho, ikiwa ni siku chache baada ya jeshi la polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga kusambaratisha kwa mabomu ya machozi na maji ya kuwasha wananchi waliokuwa wamejiandaa kuhudhuria mkutano wa uzinduzi wa "Operesheni Okoa Demokrasia" katika uwanja wa CDT mjini Kahama.

Viongozi wakuu wa chama hicho walioongozana na mwenyekiti wa Taifa CHADEMA kwenda mahakamani kufungua kesi hiyo ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho upande wa Zanzibar Said Issa Mohamed, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Vicent Mashinji, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu, Mwenyekiti wa BAVICHA Patrobas Katambi, Mwenyekiti wa BAWACHA Mhe. Halima Mdee na baadhi ya wabunge wa chama hicho.

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe amesema kesi hiyo itasimamiwa na mawakili watatu ambao ni Gaspar Mwanalyela, John Mallya na Paul Kipeja.

Mhe. Mbowe pia ametumia fursa hiyo kumjibu Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ackson Tulia, kuhusiana na suala la posho za wabunge hasa wa kambi ya upinzani wanaosaini mahudhurio na kisha kutoka nje ya ukumbi wa bunge.Taarifa ya Wizara kukanusha uvumi kuhusu ajira za walimu kwa mwaka 2015/16


UJUMBE UFUATAO HAPA CHINI NDIYO WA BANDIA NA WA KUPUUZWA

Taarifa ya TRA ya tarehe ya mwisho ya kulipa Kodi ya Mapato na ya Ongezeko la Thamani

ISO 9001:2008 CERTIFIED

Walipakodi wote wanakumbushwa kuzingatia mwisho wa kulipa kodi ya Mapato na Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) PASIPO ADHABU

1.O ULIPAJI WA KODI YA MAPATO – MAKADIRIO YA AWALI
  • walipakodi wote ambao hesabu zao za mizania zinaishia tarehe 30/06/2016, wanapaswa kulipa sehemu ya nne ya makadirio ya awali ya mwaka 2016
  • walipakodi wote ambao hesabu zao za mizania zinaishia tarehe 30/09/2016, wanapaswa kulipa sehemu ya tatu ya makadirio ya awali ya mwaka 2016
  • walipakodi wote ambao hesabu zao za mizania zinaishia tarehe 30/12/2016, wanapaswa kulipa sehemu ya pili
  • walipakodi wote ambao hesabu zao za mizania zinaishia tarehe 31/03/2017, wanapaswa kulipa sehemu ya kwanza ya makadirio ya awali ya mwaka 2017
Tarehe za malipo kwa ufupi:

Tarehe ya mwisho wa mwaka wa Mahesabu Awamu za Malipo Tarehe ya Mwisho wa Malipo bila Adhabu

30/06/2016 Awamu ya nne ya mwaka wa Mapato 2016 30/06/2016
30/09/2016 Awamu ya tatu ya mwaka wa Mapato 2016 30/06/2016
31/12/2016 Awamu ya piliya mwaka wa Mapato 2016 30/06/2016
31/03/2017 Awamu ya kwanza ya mwaka wa Mapato 2017 30/06/2016

2.0 UWASILISHAJI WA RITANI ZA MAPATO KWA MWAKA 2016

Walipakodi wote ambao mwaka wao wa mapato uliisha tarehe 31/12/2015, wanatakiwa kuwasilisha ritani zao pamoja na hesabu zilizokaguliwa na kulipa kodi yote inayotakiwa mnamo au kabla ya tarehe 30/06/2016

3.0 UWASILISHAJI WA RITANI ZA VAT ZA MWEZI MEI 2016

Walipakodi wote ambao wamesajiliwa na Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) wanatakiwa kuwasilisha ritani za mwezi mei 2016 na kulipa kodi inayotakiwa kabla ya tarehe 30/06/2016. Pia wale wote ambao hawakufanya biashara wanatakiwa kuwasilisha ritani zao zisizokuwa na malipo (NIL RETURN)

4.0 UTOAJI WA RISITI ZA KODI ZA KIELEKITRONIKI/ ANKARA YA KODI 

Walipakodi wote waliosajiliwa na wasiosajiliwa kwenye kodi ya Ongezeko la Thamani wanakumbushwa Kutoa risiti za kodi za kielekitroniki/Ankara ya kodi kwa mauzo yote wanayofanya kulingana na fedha zilizopokelewa. Ni kinyume cha sheria kupokea malipo kwa kuuza Bidhaa au huduma bila Kutoa risiti ya kodi ya kielekitroniki/Ankara ya kodi

5.0 KUMBUKA

Riba na Adhabu itatozwa/itatolewa kwa Pointi ya Sarafu (Currency Points) kwa mlipakodi yeyote ambaye hatalipa kodi kwa muda unaotakiwa au atakayeshindwa kuwasilisha ritani kwa muda unaotakiwa kwa mujibu wa sheria.

Ili kuepuka msongamano na usumbufu mwingine walipakodi wanashauriwa kutosubiri siku ya Mwisho. Tunashukuru kwa ushirikiano mzuri.

“Pamoja Tunajenga taifa letu”

Imetolewa na:

Idara ya Huduma na Elimu kwa mlipakodi
TRA Makao Makuu
S.L.P 11491
Dar es Salaam.

Barua pepe: [email protected]

Kituo cha Huduma
Simu bila Malipo
0800 780078
0800 750075

UKAWA: Tunamuunga mkono Rais Magufuli kuondoa posho za vikao, tunamwomba aondoe posho hizo kwa wabunge

Mbunge wa Momba (CHADEMA), Mhe. David Silinde akizungumza na waandishi wa habari kuelezea msimamo wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kuhusu bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2016/17. Katikati ni Mbunge wa Vunjo, James Mbatia na Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Riziki Mngwali.
KAMBI rasmi ya Upinzani Bungeni imemuunga mkono Rais, Dkt. John Pombe Magufuli katika juhudi zake za kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuelekeza fedha hizo katika miradi ya maendeleo na huduma za jamii kama ujenzi wa miundombinu ya barabara na reli.

Pongezi hizo zimetolewa leo mjini Dodoma na Mbunge wa Momba (CHADEMA), David Silinde wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2016/17.

“Tunamuunga mkono Mhe. Rais John Pombe Magufuli kwa kuondoa posho za vikao (Sitting Allowances) na tunamwomba aondoe posho hizo kwa wabunge nao watumie mishahara yao ili kuwe na usawa,” alisema Silinde.

Silinde alisema kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani inaunga mkono juhudi za Mhe Rais Magufuli za kukusanya kodi ambayo inabidi ielekezwe kwenye miradi ya maendeleo na huduma za kijamii.
“Tunaungana na Serikali kukata kodi kwenye kiinua mgongo cha wabunge lakini tunamuomba Mheshimiwa Rais apanue wigo wa kodi hiyo hadi kwa wakuu wa Mikoa na Wilaya,” alisema Silinde.

Kwa upande wake, mbunge wa Jimbo la Vunjo (NCCR-Mageuzi), Mhe. James Mbatia amesema kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani inamuomba Mhe. Rais Magufuli kufuta posho za vikao kwa wabunge haraka ili kuleta usawa kwa watanzania wote.

Jonas Kamaleki, 
MAELEZO, 
Dodoma
10/6/2016Mbunge wa Vunjo (NCCR- Mageuzi), Mhe. James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari kuelezea msimamo wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kuhusu bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2016/17. Kushoto ni Mbunge wa Momba (CHADEMA), David Silinde na Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Mhe. Riziki Mngwali. 

PICHA: ISMAIL NGAYONGA - MAELEZO

Katuni: Bajeti 2017


SARETI call for applications: Scholarships in Health Research Ethics 2017


SARETI MASTERS DEGREE SCHOLARSHIPS

MSocSc (HEALTH RESEARCH ETHICS) 2017

South African Research Ethics Training Initiative (SARETI): Advanced Learning in Health Research Ethics.

SARETI is a University of KwaZulu-Natal (Pietermaritzburg) Masters programme, funded by the Fogarty International Center (FIC) of the US National Institutes of Health (NIH) offering advanced learning in health research ethics. The programme is aimed at health researchers, scientists, members and administrators of Research Ethics Committees, public health personnel, social scientists, philosophers, ethicists, health journalists, lawyers, and other professionals whose work impacts on health-related research.

SARETI is an African programme in health research ethics that offers modular and applied learning. Trainees are enabled to develop the expertise required to ensure that health research in Africa has the welfare of research participants, individuals and communities as its primary focus. SARETI offers a structured full-time Masters programme specialised in health research ethics.

SARETI announces the availability of scholarships that offer full financial support (travel, course fees, accommodation, stipends) for Masters' degree students for 2017. Eligibility is restricted to applicants who:
  1. are able to undertake full-time study for 11 months;
  2. have an eligible prior degree;
  3. are involved in health research ethics and health-related research; and
  4. are resident in Africa.
Applications from self-funded or externally-sponsored students are also welcome.


Applications for the 2017 programme (which starts in January 2017) are invited. The closing date for applications is Friday, 26 August 2016. For further information and application forms, visit SARETI’s website: http://sareti.ukzn.ac.za or contact:

Ms Carla Pettit, SARETI Project Manager, School of Applied Human Sciences, College of Humanities, University of KwaZulu-Natal, Private Bag X01, Scottsville 3209, Pietermaritzburg, South Africa; Tel: +27 33 260 6162; Fax: +27 33 260 5809; e-mail: [email protected]