Kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Juni 25, 2016


Here are some of the losers and winners of Brexit


Thanks to United Kingdom voters who decided Thursday to exit the European Union, stock prices plunged all over the world.

Analysts said the so-called Brexit generated massive "uncertainty" that killed the appetite for stocks. No one knows what happens next as the entire U.K. – including England, Scotland, Wales and Northern Ireland – pulls away from the EU.

According to the NPR, here are some losers and winners:

LOSERS
 1. People who invested earlier this week. No matter what shares you bought on Wednesday, you probably lost money by Friday. In Japan, the Nikkei stock average fell nearly 8 percent, marking the single worst trading day since 2011. The STOXX Europe 600 Index dropped about 7 percent. In the U.S., the NASDAQ Composite Index of stocks fell 4.12 percent; the Dow Jones industrial average dropped 3.39 percent.

 2. Savers hoping for higher interest payouts. Overwhelmingly, economists now say the Federal Reserve won't raise interest rates this year. Brexit is seen as an immense setback for global growth; the central bank can't pile on the misery.

 3. Companies pumping oil. Since spring, oil prices have been rising. The price of a barrel WTI crude oil, which had gotten below $30 in February, had clawed its way back to nearly $52 this month. But with the global economy looking shakier, the price has slumped back down to $47.61.

 4. Businesses in poorer countries. Currencies in emerging markets — from Mexico to Hungary to South Africa — plunged in value as investors fled riskier assets. When your country has a weak currency, you can't afford the imports you need to grow, such as Caterpillar tractors and Ford trucks.

 5. British tourists coming to the U.S. The British pound plummeted after the Brexit vote, down nearly 8 percent to $1.37, the lowest level since 2009. That means U.K. residents planning trips to Orlando better figure on eating sandwiches in their rooms; their vacation costs have just jumped higher.
WINNERS
 1. Home buyers seeking cheap mortgages. The Brexit vote is pushing interest rates to record lows. So investors in safer U.S. mortgage-backed securities will be plentiful, which means interest rates can remain at very low levels.

 2. Procrastinators considering a refi. People who have been thinking about refinancing their debt, but keep putting off the task, can take heart. You now have more time to fill out those forms because interest rates are not likely to rise.

 3. TTIP opponents. If you hate free-trade deals, then Brexit will help you put a nail in the coffin of the Transatlantic Trade and Investment Partnership. The trade deal is being negotiated with U.S. and EU officials. But now EU negotiators are going to have their hands full working out a U.K. "divorce." There are only so many hours in the day.

 4. Supporters of the EU. Okay, maybe this sounds crazy. But with economic chaos now enveloping the U.K., the remaining EU members may become more determined to pull together and make their joint project work better. Maybe they will cut back on the annoying bureaucracy and focus more on growth.

 5. Smart cookies in the Silicon Valley. With interest rates so low and stock purchases looking risky, wealthy investors all over the world may see the United States as the best place to take chances on startup companies. They have to put their money some place; the U.S. tech sector may be just the ticket.
The Financial Times editorial/opinion

Taarifa ya habari ChannelTEN Juni 24, 2016


Majina ya waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi 2016


OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016.

Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali.

Jumla ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.

Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 34,064 wakiwemo wasichana 13,466 na wavulana 20,598 sawa na asilimia 52 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati; na wanafunzi 30,897 wakiwemo wasichana 15,445 na wavulana 15,452 sawa na asilimia 47 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na Biashara na wanafunzi 759 wakiwemo wasichana 220 na wavulana 539 sawa na asilimia 1 wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya Ufundi.

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 11 Julai, 2016 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule.

Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti hadi tarehe 24 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.

Imetolewa na Katibu Mkuu,
OR-TAMISEMI

Taarifa ya Msajili kwa Vyama vya Siasa ya zoezi la uhakiki wa utekelezaji wa masharti ya usajili


Boma la 116 la Mjerumani mjini Iringa...

Makumbusho ya Mkoa wa Iringa inavyoonekana kwa nje baada ya mradi wa Kuendeleza Utamaduni Nyanda za Juu Kusini (Fahari Yetu) kulifanyia ukarabati jengo hilo lililokuwa boma la mjerumani miaka 116 iliyopita (Picha na Frank Leonard)

Mkuu wa Mkoa Dar afuta kibali na kusimamisha kampuni za ukandarasi

 photo ff-barabara-pg8-231112.jpg

SERIKALI ya Mkoa wa Dar es Salaam, imeifutia kibali kampuni ya Ukandarasi ya Ishinomya cha kufanya ujenzi wa barabara za halmshauri zote za jiji la Dar es Salaam kutokana kujenga barabara chini ya kiwango huku kampuni tatu zimetakiwa zisipewe zabuni mpaka pale watakapojiridhisha.

Akizungumza na waandishi habari jijini Dar es Salaam leo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kampuni zimekuwa ukandarasi zimekuwa zikifanya kazi chini ya kiwango ili barabara iharibike kwa ajili ya kupata zabuni nyingine.

Amesema kuwa hatuwezi kufika kwakuwa na barabara zenye kiwango cha chini na kuendelea kuwepo kwa kampuni hizo ambazo zinajenga barabara chini ya kiwango na wanapofika mwisho nyuma zimeharibika.

Amesema kuwa mkoa wa Dar es Salaam barabara zina mashimo kutokana na kampuni kufanya kazi kwa mazoea.

Kampuni ambazo zimesimamishwa kufanya ukandarasi wa barabara mpaka wajiridhishe ni Germinex, Delmonte pamoja na Skol.

Aidha Mkuu wa Mkoa amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote za Mkoa wa Dar es Salaam ndani ya mwezi mmoja kuwe hakuna barabara inayokuwa na mashimo na ni agizo ambalo wanatakiwa kutekeleza.
 • via Michuzi blog

Taarifa ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kwa waombaji


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Inapenda kutoa taarifa kwa Umma na wadau wake wote kuwa inatarajia kuanza kupokea maombi ya Mikopo kwa mwaka wa masomo 2016 /2017 kuanzia tarehe 27 Juni 2016 hadi tarehe 31 Julai 2016.

Katika kipindi hicho waombaji wa mikopo watarajiwa wanapaswa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku uliopo kwenye tovuti ya Bodi www.heslb.go.tz ili kufahamu sifa za mwombaji na taratibu kufuata kabla ya kuomba mikopo kwa njia ya mtandao.

Utoaji wa Mikopo unaongozwa na Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu Na. 9 ya 2004 (kama ilivyorekebishwa) hususani vifungu vyake vya 16 na 17.

Kwa taarifa hii, waombaji wote wa mikopo wanatakiwa kusoma mwongozo huo kabla ya kujaza maombi ya mikopo na wazingatie kuwa tarehe ya mwisho ya kuomba mikopo ni Julai 31, 2016.

IMETOLEWA NA:
KITENGO CHA HABARI, ELIMU NA MAWASILIANO
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
TAREHE 24 JUNI 2016.

Ufunguzi wa mafunzo ya awali ya jeshi la polisi na uhamiaji, CCP Moshi

Wahitimu wa mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi na Uhamiaji wakimuonyesha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (hayupo pichani) jinsi miili yao ilivyokuwa imara kwa pikipiki kupita juu ya matumbo yao. Jumla ya wahitimu 3,904 walimaliza mafunzo hayo ambayo yamefungwa rasmi na Waziri, Mwigulu Nchemba

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akikagua gadi ya wahitimu wa Jeshi la Polisi na Uhamiaji kabla ya kuyafunga mafunzo ya wahitimu hao wa mafunzo ya awali yaliyofanyika katika Chuo Cha Polisi (CCP) mjini Moshi. Jumla ya wahitimu 3,904 walimaliza mafunzo.
Picha: KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

[video] Kauli ya UKAWA kuhusu alichosema Rais Dk Magufuli jana Juni 23, 2015


He! Ushirikina tena kwenye nyimbo za Injili?


MWIMBAJI wa nyimbo za Injili, Madam Ruth Mwamfupe ‘Madam Ruth’, ameweka wazi kwamba wasanii wengi wa muziki huo ni wafitini kutokana na kujihusisha katika masuala ya kishirikina na kuitenga imani yao.

Akizungumza na MTANZANIA, Madam Ruth anayetamba na wimbo wake wa ‘Jana Imepita’, alisema alidhani mambo hayo hufanywa na wasanii wa muziki mwingine lakini ajabu yanafanyika katika muziki wa Injili.
“Kumekua na ufitini mwingi kwenye huduma hii ya uimbaji, inadaiwa wapo wanaokwenda kwa waganga wa jadi kwa ajili ya kuzima nyota za waimbaji wengine jambo ambalo ni kinyume na mpango wa Mungu na wanaofanya hivyo wanapaswa kuacha kwani mwisho wao si mzuri,” alisema msanii huyo.