Viongozi wakataa madawati


Taarifa ya habari ChannelTEN Saba Saba, 2016

Hotuba aliyoitoa Maalim Seif katika Baraza la Idi


Jana katika Baraza la Idi el Fitri lililofanyika katika ukumbi wa Wakfii wa Ngazija mjini Zanzibar, Katibu Mkuu wa chama cha Civic United Front (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema anasikitishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi mbalimbali wa chama hicho katika ngazi za wilaya na majimbo.

Amedai kuwa viongozi hao huwekwa ndani huku wakiteswa, kuadhibiwa na kulazimishwa kukubali kushiriki katika vitendo vya uhalifu ambavyo hawakuvitenda.

Hata hivyo, amesema kuna mwendelezo wa kauli zinazoashiria azma ya kutaka kumkamata yeye, zinazotolewa na baadhi ya wakuu wa vyombo vya dola na hivyo kutamka; “Hakuna haja ya kuwatesa watu, iwapo wanayo azma ya kunikamata, mimi nipo waje tu wanikamate.”

Kauli ya Kitwanga kwa Watanzania kuhusu mkataba, uhusiano wa Dell, Infosys, Lugumi


Kuhusu iwapo kufukuzwa kwake kuna uhusiano na sakata la Lugumi au la, Kitwanga alitumia majibu aliyedai kuwa ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa waandishi jijini Nairobi (Kenya); "Hivi mtu akikuuliza -- mimi ni  mume wa mama yako -- utakubali? Basi, hilo ndilo jibu na Watanzania wote wasiniulize tena," alisema Kitwanga

Taarifa ya Wizara kuhusu malalamiko ya kitalu cha uwindaji kutoka kampuni ya Friedkin Conservation Fund

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Statement by the Ministry on the report of allegations by Wingert Windrose Safaris

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

Mabadiliko Wakuu wa Wilaya: Ndejembi apelekwa Kongwa; Palingo ahamishiwa alikokataa MaswanyaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amemteua Bw. Deogratius John Ndejembi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema Bw. Deogratius John Ndejembi anachukua nafasi iliyoachwa na aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Bw. John Ernest Palingo ambaye amehamishiwa Wilaya ya Mbozi katika Mkoa wa Songwe.

Uhamisho wa Bw. John Ernest Palingo kwenda Wilaya ya Mbozi, umefanywa baada ya Mhe. Rais Magufuli kuridhia maombi ya Bw. Ally Masoud Maswanya aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, kuomba uteuzi wake utenguliwe kutokana na sababu binafsi.

Bw. Deogratius John Ndejembi atakula kiapo cha ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma siku ya Jumanne tarehe 12 Julai, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam

07 Julai, 2016

Taarifa ya marekebisho katika majina ya Wakurugenzi yaliyotolewa leo Julai 7, 2016

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

Simu: 255-22-2114512, 2116898
Tovuti : www.ikulu.go.tz              

Faksi: 255-22-2113425OFISI YA RAIS,
      IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,  
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania. 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Tunapenda kufanya marekebisho madogo katika majina yaliyopo kwenye orodha ya wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya ambapo Dkt. Leonard Moses Massale ametangazwa kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma.

Jina hilo limeingizwa katika Orodha ya Wakurugenzi wa halmashauri kwa makosa, na kwa sababu hiyo Dkt. Leonard Moses Massale anaendelea kuwa Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza.

Kufuatia marekebisho hayo, uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma utatangazwa baadaye.

AIDHA, tunapenda kutoa ufafanuzi kuwa makatibu tawala wa wilaya wote ambao majina yao yamejitokeza katika orodha ya wakurugenzi wa halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na wilaya, Mhe. Rais Magufuli ameamua kuwabadilishia majukumu na sasa watatumikia vyeo vyao vya ukurugenzi badala ya vyeo vya Ukatibu Tawala wa Wilaya.

Kufuatia mabadiliko hayo, nafasi za Makatibu Tawala wa Wilaya ambao wameteuliwa kuwa Wakurugenzi wa Halmshauri zitajazwa baadaye.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam

07 Julai, 2016

Taarifa: Wakurugenzi wa Halmashauri, Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri za majiji 5, Manispaa 21, Miji 22 na Wilaya (DC) 137 za Tanzania Bara.

Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Mussa Iyombe ambapo kati ya wakurugenzi wote 185 walioteuliwa, 65 wameteuliwa kutoka orodha ya wakurugenzi wa zamani na 120 ni wakurugenzi wapya.

Orodha ya wakurugenzi walioteuliwa kulingana na mikoa yao ni kama ifuatavyo;

ARUSHA
Arusha Jiji - Athumani Juma Kihamia
Arusha DC - Dkt. Wilson Mahera Charles
Karatu DC - Banda Kamwande Sonoko
Longido DC - Jumaa Mohamed Mhiwapijei
Meru DC - Kazeri Christopher Japhet
Monduli DC - Stephen Anderson Ulaya
Ngorongoro DC - Raphael John Siumbu

DAR ES SALAAM
Dar es salaam Jiji - Siporah Jonathan Liana
Kinondoni Manispaa - Aron Titus Kagurumjuli
Temeke Manispaa - Nassibu Bakari Mmbaga
Ilala Manispaa - Msongela Nitu Palela
Kigamboni Manispaa - Stephen Edward Katemba
Ubungo Manispaa - Kayombo Lipesi John

DODOMA
Dodoma Manispaa - Dkt. Leonard M. Masale
Kondoa DC - Kibasa Falesy Mohamed
Kondoa Mji - Khalifa Kondo Mponda
Mpwapwa DC - Mohamed Ahamed Maje
Kongwa DC - Mhandisi Ngusa Laurent Izengo
Chemba DC - Semistatus Hussein Mashimba
Chamwino DC - Athuman Hamis Masasi
Bahi DC - Rachel Marcel Chuwa

GEITA
Bukombe DC - Dionis Maternus Nyinga
Chato DC - Mhandisi Joel Bahahari
Geita DC - Ally Abdallah Kidwaka
Geita Mji - Modest J. Apolinaly
Mbogwe DC - Mahwago Elias Kayandabila
Nyang'wale DC - Carlos K. Gwamagobe

IRINGA
Iringa Manispaa - William Donald Mafwele
Mafinga Mji - Saada S. Mwaruka
Mufindi DC - Riziki Salas Shemdoe
Iringa DC - Robert Mgendi Magunya
Kilolo DC - Aloyce Kwezi

KAGERA
Biharamulo DC - Wende Israel Ng'ahala
Bukoba DC - Abdulaaziz Jaad Hussein
Bukoba Manispaa - Makonda Kelvin Stephen
Karagwe DC - Godwin Moses Kitonka
Kyerwa DC - Shedrack M. Mhagama
Missenyi DC - Limbe Berbad Maurice
Muleba DC - Emmanuel Shelembi Luponya
Ngara DC - Aidan John Bahama

KATAVI
Mlele DC - Alex Revocatus Kagunze
Mpimbwe DC - Erasto Nehemia Kiwale
Mpanda DC - Ngalinda Hawamu Ahmada
Mpanda Manispaa - Michael Francis Nzyungu
Nsimbo DC - Joachim Jimmy Nchunda

KIGOMA
Buhigwe DC - Anosta Lazaro Nyamoga
Kakonko DC - Lusubilo Joel Mwakabibi
Kasulu DC - Godfrey Msongwe Masekenya
Kasulu Mji - Fatina Hussein Laay
Kigoma Ujiji - Manispaa - Judethadeus Joseph Mboya
Kigoma DC - Hanji Yusuf Godigodi
Kibondo DC - Shelembi Felician Manolo
Uvinza DC - Weja Lutobola Ng'olo

KILIMANJARO
Manispaa ya Moshi - Michael Nelson Mwandezi
Hai DC - Yohana Elia Sintoo
Siha DC - Valerian Mwargwe Juwal
Same DC - Shija Anaclaire
Mwanga DC - Golden A. Mgonzo
Rombo DC - Magreth Longino John
Moshi DC - Emalieza Sekwao Chilemeji

LINDI
Kilwa DC - Bugingo I. N. Zabron
Lindi DC - Samwel Warioba Gunzar
Lindi Manispaa - Jomaary Mrisho Satura
Liwale DC - Justine Joseph Monko
Nachingwea DC - Bakari Mohamed Bakari
Ruangwa DC - Andrea Godfrey Chezue

MANYARA
Babati Mji - Fortunatus Hilario Fwema
Hanang DC - Bryceson Paul Kibasa
Mbulu DC - Festi Fungameza Fwema
Mbulu Mji - Anna Philip Mbogo
Simanjiro DC - Yefred Edson Myezi
Kiteto DC - Tamim Kambona
Babati DC - Hamis Iddi Malinga

MARA
Manispaa ya Musoma - Fidelica Gabriel Myovela
Bunda DC - Amos Jeremiah Kusaja
Bunda Mji - Janeth Peter Mayanja
Butiama DC - Solomon Kamlule Ngiliule
Musoma DC - Flora Rajab Yongolo
Serengeti DC - Juma Hamsini Seph
Rorya DC - Charles Kitanuru Chacha
Tarime DC - Apoo Castro Tindwa
Tarime Mji - Hidaya Adam Usanga

MBEYA
Busokelo DC - Eston Paul Ngilangwa
Chunya DC - Sofia Kumbuli
Kyela DC - Mussa Joseph Mgata
Mbarali DC - Kivuma Hamis Msangi
Mbeya DC - Ameichiory Biyengo Josephat
Mbeya Jiji - Zacharia Nachoa Ntandu
Rungwe DC - Loema Isaya Peter

SONGWE
Momba DC - Adrian Jovin Jungu
Tunduma Mji - Valery Alberth Kwemba
Mbozi DC - Edna Amulike Mwaigomole
Ileje DC - Haji Mussa Mnasi
Songwe DC - Elias Philemon Nawela

MOROGORO
Gairo DC - Agnes Martin Mkandya
Kilombero DC - Dennis Lazaro Londo
Ifakara Mji - Francis Kumba Ndulane
Kilosa DC - Kessy Juma Mkambala
Morogoro DC - Sudi Mussa Mpili
Morogoro Manispaa - John Kulwa Magalula
Mvomero DC - Florent Laurent Kyombo
Ulanga DC - Audax Christian Rukonge
Malinyi DC - Marcelin Rafael Ndimbwa

MTWARA
Mtwara DC - Omari Juma Kipanga
Mtwara Mikindani Manispaa - Beatrice Dominic Kwai
Masasi Mji - Gimbana Emmanuel Ntayo
Masasi DC - Mkwazu M. Changwa
Nanyumbu DC - Hamis Hassan Dambaya
Newala DC - Mussa Mohamed Chimae
Newala Mji - Andrew Frank Mgaya
Tandahimba DC - Said Ally Msomoka
Nanyamba Mji - Oscar Anatory Ng'itu

MWANZA
Mwanza Jiji - Kiomoni Kibamba Kiburwa
Ilemela Manispaa - John Paul Wanga
Kwimba DC - Pendo Anangisye Malabeja
Magu DC - Lutengano George Mwalwiba
Misungwi DC - Eliud Leonard Mwaiteleke
Ukerewe DC - Tumaini Sekwa Shija
Buchosa DC - Crispian Methew Luanda
Sengerema DC - Magesa M. Boniphace

NJOMBE
Njombe Mji - Iluminata Leonald Mwenda
Makambako Mji - Paul Sostenes Malala
Makete DC - Francis Emmanuel Namaumbo
Njombe DC - Monica Peter Kwiluhya
Ludewa DC - Ng'wilabuzu Ndatwa Ludigija
Wanging'ombe DC - Amina Mohamed Kiwanuka

PWANI
Bagamoyo DC - Azimina A. Mbilinyi
Chalinze DC - Edes Philip Lukoa
Kibaha DC - Tatu Seleman Kikwete
Kibaha Mji - Jenifer Christian Omolo
Kisarawe DC - Mussa L. Gama
Mafia DC - Erick Mapunda
Mkuranga DC - Mshamu Ally Munde
Kibiti DC - Alvera Kigongo Ndabagoye
Rufiji DC - Salum Rashid Salum

RUKWA
Kalambo DC - Simon Ngagani Lyamubo
Sumbawanga DC - Nyangi John Msemakweli
Sumbawanga Manispaa - Hamid Ahmed Njovu
Nkasi DC - Julius M. Kaondo

RUVUMA
Mbinga DC - Gumbo Samanditu Gumbo
Mbinga Mji - Robert Kadaso Mageni
Namtumbo DC - Christopher Michael Kilungu
Nyasa DC - Oscar Albano Mbuzi
Songea DC - Simon Michael Bulenganija
Madaba DC - Shafi Kassim Mpenda
Tunduru DC - Abdallah Hussein Mussa
Songea Manispaa - Tina Emelye Sekambo

SHINYANGA
Kishapu DC - Stephen Murimi Magoiga
Msalala DC - Berege Sales Simon
Shinyanga DC - Mark Emmanuel Malembeka
Kahama Mji - Anderson David Msumba
Shinyanga Manispaa - Lewis Kweyemba Kalinjuna
Ushetu DC - Michael Augustino Matomola

SIMIYU
Bariadi DC - Abdallah Mohamed Malela
Bariadi Mji - Melkizedek Oscar Humbe
Itilima DC - Mariano Manyingu
Maswa DC - Fredrick Damas Sagamiko
Busega DC - Anderson Njiginya
Meatu DC - Said F. Manoza

SINGIDA
Ikungi DC - Rustika William Turuka
Iramba DC - Linno Pius Mwageni
Mkalama DC - Martin Msuha Mtanda
Manyoni DC - Charles Edward Fussi
Itigi DC - Luhende Pius Gerald
Singida DC - Rashid Mohamed Mandoa
Singida Manispaa - Kizito L. Brava

TABORA
Igunga DC - Revocatus Lubigili Kuuli
Kaliua DC - John Marco Pima
Nzega DC - Jacob James Mtalitinya
Nzega Mji - Phillimon Mwita Magesa
Sikonge DC - Simon Saulo Ngatunga
Tabora Manispaa - Bosco Addo Ndunguru
Urambo DC - Magreth Nakainga
Tabora -Uyui - Hadija Maulid Makuani

TANGA
Tanga Jiji - Daudi R. Mayeji
Korogwe DC - George John Nyaronga
Korogwe Mji - Jumanne Kiangoshauri
Muheza DC - Luiza Osmin Mlelwa
Handeni Mji - Keneth K. Haule
Handeni DC - William Methew Mafukwe
Pangani DC - Sabas Damian Chambasi
Mkinga DC - Mkumbo Emmanuel Barnabas
Bumbuli DC - Peter Isaiah Nyalali
Kilindi DC - Clemence Andagile Mwakasenda
Lushoto DC - Kazimbaya Makwega Adeladius

Wakurugenzi wote walioteuliwa wanatakiwa kufika Ikulu Jijini Dar es salaam siku ya Jumanne tarehe 12 Julai, 2016 saa tatu asubuhi kwa ajili ya kula kiapo cha ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
07 Julai, 2016