Amweka mwanaye wa siku 4 kwenye jokofu, kilichotokea...


4-Day-Old Boy Dies After His Mother Puts Him Inside Refrigerator for 3 Hours

A South Carolina mother is facing homicide charges after police say she placed her newborn son in a refrigerator, killing him.

Angela Blackwell, 27, was arrested by authorities in Chester County this week. She's been charged with murder/homicide by child abuse in the death of her 4-day-old son, William David Blackwell.

According to the Chester County coroner, William died from hypothermia with asphyxiation after being placed in the fridge.

The incident happened back in February, but Blackwell wasn't arrested until Monday, reports the Herald Online.

The boy was in the refrigerator for three hours, during which Blackwell never sought any medical attention for the boy, according to an arrest affidavit

Deputies responded to a hospital February 27 after William was brought in by ambulance unresponsive. The baby was pronounced dead at the hospital.

Blackwell and her partner have another son who's 3 year old. The boy was taken by child services following his little brother's death.

A judge on Monday denied Blackwell bond. It is not clear if she had retained an attorney.

If convicted, Blackwell faces 20 years to life in prison, according to Jailtracker.com.

New Grant: $1.5M / 4 years for bioengineers & HIV collaborations

This RFP aims to harness bioengineering technology to solve the problems posed by the HIV viral reservoir through collaborations between HIV cure scientists and bioengineers. Recent advances in nanomachines, synthetic biomarkers, in vivo sensors, multi-omic single cell platforms and other technologies have yet to be evaluated for their usefulness in curing HIV. Investment Grants provide a funding mechanism through which potentially groundbreaking, early stage approaches are encouraged, regardless of risk or scalability.

Click here to view the full RFP

Maximum Funding: $1.5 million including indirect costs

Performance Period: February 1, 2017 – January 31, 2021

Deadline to request log-in credentials for submission: 3:00 PM, Friday, September 23, 2016.

Deadline to submit Letter of Intent: 3:00 PM, Tuesday, September 27, 2016

Click here to submit a request for log-in credentials for this RFP

Eligibility

The Principal Investigator must hold a doctoral degree and be an HIV cure scientist affiliated with a nonprofit research institution. Please refer to the RFP for full eligibility requirements.

Taarifa na wito kwa wananchi: Mapitio ya Sera ya Afya ya Mwaka 2007

Waziri Ummy Mwalimu akitoa wito kwa wananchi kushirikiana na wataalam wanaofanya Mapitio ya Sera ya Afya kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Chuo cha Afya Muhimbili na Wataalam wa Ofisi mbalimbali za Serikali zinazojishughulisha na masuala ya utekelezaji wa Sera ya Afya ya mwaka 2007

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
TAARIFA KWA UMMA.


MAPITIO YA SERA YA AFYA YA MWAKA 2007

Utoaji wa huduma za afya nchini una simamiwa na Sera ya Afya ya mwaka 2007. Dhumuni kuu la Sera hii ya Afya ya Mwaka2007, ni kuinua hali ya afya ya wananchi wote na hasa wale walioko kwenye hatari zaidi, kwa kuweka mfumo wa huduma za Afya utakaokidhi mahitaji ya wananchi na kuongeza umri wa kuishi wa Watanzania. Mpaka sasa, Wizara yangu inaendelea kutekeleza Sera hii katika kusimamia utoaji na upatikanaji wa huduma za afya nchini. Katika utekelezaji wa Sera hii, Wizara na Sekta ya Afya kwa ujumla imepata mafanikio mbalimbali. Mafanikio haya ni pamoja na:
 • Ongezeko la Vituo vya kutolea Huduma: Wizara imeendelea kuboresha huduma za tiba kwa kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Afya ya Msingi (MMAM). Katika utekelezaji wa Mpango huo,vituo vya kutolea huduma za afya vimeongezeka kutoka vituo 5,172 mwaka 2005 hadi 7,247 mwaka 2015, sawa na ongezeko la vituo 2,075. Kati ya vituo vyote vilivyopo nchini, Vituo 5,072 ni vya Serikali na 2,175 nivyataasisibinafsi.
 • Kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano kutoka112 kwa kila vizazi hai 1000 mwaka 2005 hadi 81 kwa vizazi hai 1000 mwaka 2010. Aidha, Taarifa ya Kimataifa ya Septemba 2013, imeonesha kuwa Tanzania tumeweza kufikia Lengo la millennia namba 5, la angalau kuwa na vifo 54 kwa kila vizazi hai 1000, Tanzania iliweza kufikia lengo hilo kabla ya mwaka 2015.
 • VifovitokanavyonamatatizoyaUzazivimepunguakutoka 578 kwakilavizazihai 100,000 mwaka 2005 hadivifo 432 kwavizazihai 100,000 mwaka 2012 navifo 410 kwavizazihai 100,000 mwaka 2014. PiamatumiziyaUzaziwampangoyameongezekakutokaasilimia 20 mwaka 2005 hadiasilimia 27 mwaka 2010.
 • Huduma za Chanjo: Serikali imefanikiwa katika kupanua wigo wa huduma za chanjo ambapo, kiwango cha chanjo kimeongezeka kutoka asilimia 90 mwaka 2005 hadi asilimia 97 mwaka 2014. Kutokana na mafanikio katika chanjo, Wizara imefikia viwango vya kimataifa vya kutokomeza pepopunda kwa watoto wachanga mwaka 2012 na pia imeweza kudhibiti ugonjwa wa Polio.
 • Katika kipindi hiki cha kutekeleza sera hii, Wizara imeanzisha huduma mpya za kibingwa na uchunguzi hapa nchini na kuwawezesha wananchi kupata huduma za kibingwa ambazo awali zilikuwa hazitolewi hapa nchini. Huduma hizo ni pamoja na upasuaji mkubwa wa moyo, upasuaji wa mifupa,mishipa ya fahamu na ubongo, kusafisha damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo na uanzishaji wa huduma za dharura.
 • Udhibiti wa Malaria: kiwango cha maambukizi ya malaria kimeshuka kutoka asilimia 18 mwaka 2008 na kufikia asilimia 10 mwaka 2012 (THMIS).
 • Udhibiti wa UKIMWI: Serikali imepata mafanikio katika kudhibiti UKIMWI, kiwango cha maambukizi ya Virusi vya UKIMWI(VVU) kimepungua kutoka asilimia 7 mwaka 2004 hadi kufikia asilimia 5.1 mwaka 2011/12. Vituo vya tiba kwa watu wanaoishi na VVU vimeongezeka kutoka 91 mwaka 2005 hadi 1,463 mwaka 2015. Hadi Juni 2015, jumla ya watu 703,589 wanapatiwa ARV ikilinganishwa na Mwaka 2005, ambapo watu wanaoishi na VVU 16,199 walipatiwa huduma hii.
Pamoja mafanikio mbalimbali yaliyopatika katika utekelezaji wa Sera hii, Sekta ya Afya imekuwa na changamoto mbalimbali na kusababisha madhumuni ya Sera kutofikiwa. Changamoto hizo ni pamoja na:
 1. Upungufu wa vifaa, vifaa tiba na vitendanishi pamoja na dawa katika vituo vya kutolea huduma za Afya,
 2. Uhaba wa miundombinu ya kutolea huduma za afya nchini hasa, zahanati, vituo vya afya na hospitali,
 3. Uwezo mdogo wa viwanda vinavyozalisha dawa hapa nchini,
 4. Upungufu mkubwa wa watumishi wa Afya katika ngazi zote za kutolea huduma
 5. Maendeleo madogo ya upunguzaji wa Vifo vya wakinamama vinavyotokana na Ujauzito.
 6. Maendeleo na mabadiliko ya tabia na mwenendo wa maisha vimebadili sura ya magonjwa. Aidha, hali hii imesababisha kuanza kujitokeza kwa magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza na yanayotokana na ajali na majanga, ambayo kwa huduma zilizopo haziwezi kukidhi.
 7. Kuendelea kupungua kwa Rasilimali fedha katika Sekta ya Afya na kusababisha kuendelea kushuka kwa ubora wa huduma za afya katika vituo vya kutolea huduma.
 8. Kuwalinda wananchi hasa wenye kipato cha chini katika katika kupata huduma za afya wakati wanazihitaji.
 9. Uwepo wa vituo vya kutosha vya kutolea huduma na kudumisha upatikanaji wa huduma bora za afya katika vituo vya afya.
 10. Ongezeko la idadi ya watu ambalo linapelekea ongezeko la mahitaji ya huduma za afya.
Aidha, changamoto hizo na Mabadiliko mbalimbali ambayo yatatokea yamepelekea serikali kutoa maagizo na kutayarisha mikakati mbali mbali ya Serikali kwa lengo la kuboresha huduma zitolewazo kwa umma. Mikakati na maagizo hayo ni pamoja:
 • Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Nne wa Sekta ya Afya 2015-2020 ( HSSP IV)
 • Utekelezaji wa Mkakati wa Ugharamiaji wa Huduma za Afya
 • Utekelezaji katika mfumo wa malipo kwa matokeo.
 • Mpango wa Serikali wa matokeo makubwa sasa
 • Mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia, inayobadilisha namna huduma za Afya zinavyotolewa
 • Ongezeko la Magonjwa sugu, hasa magonjwa ambayo siyo ya kuambukiza ambayo yana gharama kubwa na yanaweza kuzuilika.
Mpango wa Serikali wa matokeo makubwa sasa

Mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia, inayobadilisha namna huduma za Afya zinavyotolewa

Ongezeko la Magonjwa sugu, hasa magonjwa ambayo siyo ya kuambukiza ambayo yana gharama kubwa na yanaweza kuzuilika.

Kutokana na changamoto zilizojitokeza na utekelezaji wa mikakati na maagizo hayo , ni muhimu kufanya mapitio ya Sera ya Afya ya mwaka 2007 ili utekelezaji wa matamko ya kukidhi Lengo na Madhumuni yaliyokusudiwa kufikiwa na Sera.

Mapitio haya, yanafanywa na Wizara yangu kwa kushirikiana na Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Chuo cha Afya Muhimbili na Wataalam wa Ofisi mbalimbali za Serikali zinazojishughulisha na masuala ya utekelezaji wa Sera ya Afya ya mwaka 2007.

Nawaomba wananchi wote kutoa ushirikiano wakutosha kwa Wizara na Wataalam wa timu hii katika kuhakikisha kuwa mnatoa maoni yenu kwa uwazi kwa ajili ya kusaidia maendeleo a Sekta ya Afya nchini.

Wananchi wote mnaweza kutoa maoni yenu kupiti Tovuti ya Wizara (www.moh.go.tz) au kuwasilisha maoni yenu pia Kupitia anuani[email protected]. Mwisho wa kutoa maoni ni tarehe 30 Oktoba 2016.

Nawashukuru sana.
Ummy A. Mwalimu (mb)
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto

Waziri aagiza MOI isitishe kupeleka wagonjwa kupima MRI hospitali binafsi

Waziri Mwalimu akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali ya wizara anayoiongoza alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Serikali imesema kuwa haitamvumilia Mganga Mkuu yeyote wa Hospitali ya umma atakayebainika kuwatoza fedha wananchi walio katika kundi la watu wanaotakiwa kupata matibabu bure wakiwemo wazee wasiojiweza, wajawazito na watoto walio na umri chini ya miaka 5.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ameyasema hayo jijini Dar es salaam kufuatia kuwepo kwa malalamiko ya baadhi ya wananchi walio katika makundi hayo katika maeneo mbalimbali kudaiwa fedha katika hospitali hizo.
"Serikali hatutamvumilia Mganga Mkuu yeyote wa hospitali ya umma anayetoza fedha kwa mwanamke mjamzito, kwa mtoto mwenye umri chini ya miaka 5 na mzee asiyejiweza,
hatujabadilisha sera, " Amesisitiza Mhe.Ummy.
Amesema kwa mujibu wa Sera ya Afya ya 2007 mama wajawazito, wazee wasiojiweza na watoto walio na umri chini ya miaka 5 wanatakiwa kupata matibabu bure na kusisitiza kwamba kuwatoza fedha ni kinyume cha Sera hiyo.

Amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa ambao ndiyo wasimamizi wa Wakuu wa utekelezaji wa sera na miongozo ya afya katika ngazi ya mikoa kutimiza kikamilifu majukumu yao kwa kushughulikia haraka kero na malalamiko ya wananchi kuhusu huduma za aya katika maeneo yao ili wananchi waweze kufurahia huduma bora za afya.

Amesema serikali inaendelea kuzishughulikia changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta hiyo kwenye baadhi ya maeneo ikiwemo changamoto ya uhaba wa dawa ili kuhakikisha kuwa hospitali za umma zinakuwa na dawa za kutosha kukidhi mahitaji ya wagonjwa wanaohudumiwa.

Katika hatua nyingine Mhe. Ummy Mwalimu ameuagiza uongozi wa Taasisi ya Mifupa (MOI) na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kusitisha mara moja vitendo vya baadhi ya madaktari wa hospitali hizo kuwaandikia wagonjwa kwenda kufanyiwa uchunguzi wa vipimo katika hospitali binafsi.

Kuanzia sasa MOI wasimamishe kupeleka wagonjwa kwenda kupima MRI katika hospitali binafsi, pale itakapotokea na tukajua na kujiridhisha kuwa MRI ya Muhimbili imekufa na haifanyi kazi wataruhusiwa kufanya hivyo.

Amesisitiza kuwa kitendo cha madaktari hao kuwaandikia wagonjwa kwenda kupima vipimo vya MRI nje ni kuhujumu na kuzikosesha mapato hospitali hizo.

How Tanzania is using condoms to chase away elephants from human settlements


Firecracker the fuse and throw the bomb at the marauders. It loudly explodes in the air, and the chili quickly helps to change the mind of the intruders. They hate it and turn away.

The use of condoms saves elephant lives, while keeping villagers houses and fields safe.

Reuter's Matthew Stock reports how it's done at Tanzania's Tarangire National Park.

Tanzania’s new budget is ambitious, but will it be enough?

Philip Mpango
Philip Mpango
The recent Tanzanian national budget has managed to quickly become one of the most talked-about in years. The balancing act it attempts to achieve is a bold play by President John Magufuli to stamp his vision on Tanzania.

Upon first glance, the budget document – which recently passed Tanzania’s Parliament with all of zero opposition votes – looks as brash as the partisanship that surrounded its development: A $3.2 billion increase from 2015-16, causing a deficit of 4.5% of GDP, is hardly modest given Dodoma’s $21 billion debt level, up 6% from last year. In addition, singling out the tourism sector, which is one of Tanzania’s biggest foreign currency earners and levying it with an 18% VAT duty is playing with fire. Even more so, seeing as neighbouring Kenya recently announced the elimination of its own VAT on tourism services.

Nevertheless, examining some of the budget’s details shows the scope of the “revenue revolution”, the Magufuli administration is trying to kindle.

A “Revenue Revolution”?

The government is taking aim at a number of tax exemptions, which have advantaged investors who realized dividends from shares listed on the Dar es Salaam Stock Exchange, as well as legislators themselves, who benefitted from their end-of-term gratuity payments. Such populist moves will be welcomed by rank-and-file Tanzanians.

Still, the introduction of VAT on bank charges (including ATM withdrawals) will hurt the pockets of consumers. Tanzanians are already slapped with excise duties on a number of bank transactions – this will only add fuel to the fire and hamper the pace of East African financial integration. What is more, an existing 10% excise duty will be expanded on mobile money, a key growth area in the telecoms and banking arena, and one that financially empowers millions of underserved Tanzanians (76% of the population). This choice is especially bizarre, given that mobile banking has been heralded by the government as a means of poverty reduction.

The budget Philip Mpango presented focuses on the Finance Minister’s previous line of work, namely to maximize government revenue by broadening the tax base. Only 1.7 million Tanzanians pay taxes, while roughly 20 million should. Unfortunately, this is easier said than done. For example, reducing the Skills and Development Levy – a tax on employment that in fact does much to hurt Tanzanian skills and development – might reduce collections in the short-term, but increase them in the years to come as job creation is incentivized. However, putting in place yet another tax on alcohol, soft drinks, and tobacco might raise short-term income at the expense of reducing Tanzanians’ purchasing power, which may have negative effects on how much revenue the government collects down the line.
Infrastructure and agricultural development are essential for further growth

The benefits of well-placed infrastructure projects, however, are indisputable. There are significant gains to be had from investing in improvements to the nation’s deteriorating ports and railway, urban bussing, airport expansion, and upgrades to water treatment capabilities, as well as the construction of power plants, natural gas pipelines, and key bridges. And this year’s budget ensures a hefty increase in infrastructure spending, something that is especially needed given the decrease in foreign aid, Tanzania has seen thus far this year.

If anything, spending to address Tanzania’s development needs, of which infrastructure is a large part, needs to be increased. The previous government failed to realize its own goal of setting aside 35% of revenue collection for development each budget cycle, as per its Five Year Development Plan (FYDP). Its successor, FYDP II, which was recently launched by Prime Minister Kassim Majaliwa, aims to boost economic growth from an annual rate of 7% now to 10% in four years’ time, as well as enhance per capita GDP from $1,000 to $1,500 during that same period. If this is to be more than just a pipe dream, more needs to be done to fix the country’s infrastructure deficit. Doing so will help spur on private investment, which has the added benefit of cushioning Dar es Salaam from the volatility of commodity prices.

Furthermore, agriculture, which employs 70% of Tanzanians but only saw 2.3% growth last year, needs to be promoted. As the mainstay of the economy, contributing one-quarter of GDP,, agricultural growth should be over 6% annually, according to the African Union. To achieve this target, a more concerted effort is needed to help farmers in Tanzania fertilize their crops, mechanize their harvesting methods, access seasonal financing, and export their goods.

It is clear that President Magufuli’s budget is a work of compromise between competing economic objectives and political interests. It makes some of the same mistakes previous Tanzanian budgets have made, but it also introduces some novel ideas for revenue creation, while bolstering much-needed infrastructure spending. However, more needs to be done, and new budget might not be sufficiently ambitious to achieve tomorrow’s lofty economic goals given today’s political and economic realities.

Maptime Tanzania mapping event! Join us


Join us for the next Maptime Tanzania mapping event! This month we'll be mapping Kipawa ward, task #2096 on OSM Tasking Manager: http://tasks.hotosm.org/project/2096

Throughout the event we will be announcing mapping leaders and OSM fighter winners so stay engaged with mappers at the event and throughout the world through social media and on JOSM GeoChat!

We'll be having a Tweetchat with the hashtag #MaptimeTz & message or Tweet us directly @MaptimeTZ, @OSMTanzania and @RamaniHuria

Maptime Tanzania gatherings (previously also called mapping parties) are held once a month and are open to all members of the community, in addition to students who have previously been involved with Ramani Huria.

We invite enthusiastic and new mappers to also help edit areas that need maps with the use of the HOT Tasking Manager. If you're new to mapping, you are also welcome - the Ramani Huria team can assist you with all the tools you need to be part of mapping your community!

For news and updates, please see the Facebook event page.WHENSaturday, September 3, 2016 from 10:00 AM to 1:00 PM (EAT) - Add to CalendarWHEREGIS Lab, Geography Department, University of Dar es Salaam. - [OSM location] (http://www.openstreetmap.org/?mlat=-6.77967&mlon=39.20423#map=19/-6.77967/39.20423) [GoogleMap location] (https://www.google.co.tz/maps/dir//Geography+Department,+University+Road,+Dar+es+Salaam/@-6.7795786,39.1690378,12188m/data=!3m2!1e3!4b1!4m8!4m7!1m0!1m5!1m1!1s0x185c4ee65e87daaf:0x156c7f555fbf36c4!2m2!1d39.2040575!2d-6.7796651?hl=en), Dar es Salaam, Tanzania

Senator Wangari demands forensic audit of KU, JKUAT campuses in Rwanda, Tanzania

Nominated Senator Martha Wangari has demanded a special forensic audit on how two Kenyan public universities invested millions of shillings to set up campuses in Rwanda and Tanzania.

Wangari wants the VCs of Kenyatta University and JKUAT to explain their investments in those countries.
"The auditor must give details of the actual amount of money the public universities have spent, how works and services were procured [and] if the move to establish campuses [was] approved by the Commission for University Education," she said.
She also demanded to know the number and locations of the campuses in the said countries and the rationale for establishing and opening campuses outside Kenya.

[...] 
“We are investigating how they managed to get the loan without guarantee from Kenya or requisite approvals from the university council,” she said.
Read more: www.the-star.co.ke

Julius Yego: The Kenyan Olympic javelin thrower who taught himself the sport by watching YouTube


Kenyan javelin thrower Julius Yego won gold at the World Championships in Beijing in 2015, with a new African record throw of 92.72 meters. His win puts him in the position to become the first Kenyan to win an Olympic gold medal in a field event this month in Rio.

Yego's rise to fame is a bit more unconventional than the standard javelin medalist. He claims to be self-taught and relies on YouTube videos to perfect his technique. While Yego's hometown in the Rift Valley has produced several Olympic sprinters, there's a shortage of javelin specialists, so he had to learn on his own. He specifically found inspiration in Andreas Thorkildsen, a Norwegian javelin thrower who competed in the 2004 and 2008 Olympics. Yego watched videos of Thorkildsen throwing while taking notes on his technique and training methods.

Wanafunzi wawahishwa hospitalini kwa tiba ya mshituko wa mabomu ya mazoezi ya askari


BAADHI ya waandishi wa habari kisiwani Pemba, wakifanya mahojiano na baadhi ya wanafunzi walifikishwa hospitali ya Chake Chake baada ya kupata mshtuko ya uripuaji wa mabomu, yaliyofanywa na vikosi vya ulinzi na usalama kisiwani Pemba, katika mji wa chake chake leo asubuhi.


MMOJA wa Wanafunzi wa skuli ya Madungu Sekondari waliolazwa katika hospitali ya chake chake baada ya kupata mshtuko wa uripuaji wa mabomu yaliyofanywa na vikosi vya ulinzi na usalama mkoa wa kusini Pemba, katika maeneo mbali mbali ya Mji wa Chake Chake.


BAADHI ya wanafunzi wakiwa ndani ya hospitali ya chake chake, sehemu ya mapokezi ya wagonjwa baada ya kuiwafikisha wanafunzi wenzao kupatiwa matibabu, kutokana na mshtuko walioupata kufuatia uripuaji wa mabomu yaliyofanywa na vikosi vya ulinzi na usalama Mkoa wa Kusini Pemba, katika maeneo mbali mbali ya mji wa Chake Chake.


BAADHI ya Wanafunzi wa skuli ya Sekondari Madungu na Shamiani Chake Chake Pemba, wakiwa nje ya hospitali baada ya kurudi kuwafariji wanafunzi wenzao tisa, waliopata mshuko wa mabomu yaliyokuwa yakipigwa na vikosi vya ulinzi na Usalama Mkoa wa kusini Pemba, katika maeneo ya mji wa Chake Chake asubuhi ya leo.
 • Picha zote na Thureya Ghalib, PEMBA.

Askari FFU aliyehukumiwa kifungo cha miaka 15 kwa kumuua Mwangosi akata rufaa

Pacificius Simon (kulia)
ASKARI wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mwenye namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27) aliyefungwa miaka 15 kwa kuhusika na mauwaji ya bila kukusudia dhidi ya mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel Ten Daudi Mwangosi amekata rufaa kupinga hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama kuu kanda ya Iringa chini ya jaji Dk Paulo Kiwelo mtandao wa matukiodaimaBlog umeelezwa.

Rufaa hiyo imekatwa siku mbili toka ilipotolewa hukumu hiyo na wakili wake wa utetezi , Lwezaula Kaijage ambaye siku ilipotolewa hukumu hiyo alisema ni mapema mno kuzungumzia hatua atakayochukua baada ya hukumu hiyo.
“Kesi siyo ya kwangu ni ya mshtakiwa, mimi nilikuwa na mtetea tu, nikishapata hukumu itabidi nikutane naye, nisikie maoni yake, niangalie sheria, mwenendo wa shauri, niangalie ni kitu gani ambacho mahakama ilijielekeza vibaya katika kufiakia uamuzi huo na kama itaonekana kipo tutaangalia hatua za kuchukua,” 
ni kauli iliyotolewa na wakili huyo siku hukumu ilipotoka.

Akizungumza na mtandao huu wa matukiodaimaBlog leo ofisini kwake msajili wa mahakama kuu ya Tanzania Iringa Ruth Massam alithibitisha kupokea rufaa hiyo iliyowasilishwa na wakili Lwezaula Kaijage ambae ndie alikuwa akimtetea askari Simon .
"Ni kweli nimepokea notisi ya rufaa ya kesi hiyo ninayo hapa tokaJulay 29 mwaka huu ndipo ilipoletwa na kupokelewa mezani kwangu ....na taratibu nyingine zinaendelea "
Alisema msajili huyo kuwa kwa sasa anaendelea na taratibu za kimahakama ikiwa ni pamoja na kuijulisha mahakama kuu ya rufani Tanzania idadi ya rufaa ambazo ofisi yake imezipokea pia kuanza kuandaa taratibu nyingine zitakazowezesha mahakama kuu ya rufani Tanzania kutaja tarehe ya kusikilizwa kwa rufaa hiyo na nyingine .

Endelea kusoma habari hii kwenye chanzo cha taarifa, blogu ya MatukioDaima

Job: Logistics - Travel Assistant

The Logistics - Travel Assistant will provide logistics support in relation to all travel related activities in the Tanzania CO for visitors and staff and will report on the same.

QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE

A Diploma in supply chain, logistics or procurement - desired

1-2 years’ experience working in similar role in an NGO or private commercial sector
 • Excellent computer skills especially in MS Excel spread sheets and MS Word and Internet based communication.
 • Experience of solving complex issues through analysis, definition of a clear way forward and ensuring buy in with ability to raise up issues that need support for resolution.
 • Ability and willingness to dramatically change work practices and hours, and work with incoming surge teams, in the event of emergencies.
 • Commitment to and understanding of Save the Children’s aims, values and principles. High level of integrity/confidentiality and ability to work as part of a professional team
 • Highly developed interpersonal and communication skills including influencing, negotiation and coaching. 
 • Highly developed cultural awareness and ability to work well in an international environment with people from diverse backgrounds and cultures.
 • Fluency in written and spoken English
Location: Dar es Salaam, Tanzania

Contract - Full-Time

Find details and apply through: tanzania.savethechildren.net/jobs/job-details/200

Closing date: Sunday 4 September 2016

Job: Marine Assistant Research Officer, Tanzania

The role involves assisting the Principal Investigator with the development and implementation of the research programme, involving the daily supervision of volunteer Research Assistants, data collection and analysis, and report-writing.

The successful candidate will have a good BSc or MSc in a relevant discipline, experience in marine survey techniques and biodiversity or conservation research experience, ideally in tropical countries.

This post is an opportunity for less experienced individuals to gain overseas field experience of research, project and volunteer management and training.

Find more information and apply through: www.idealist.org/view/volop/t8SJFNcxMDbD

Tanzania: A Fake Crisis in the Making

With every passing day, Tanzanians wait with bated breath, and some with apprehension, the arrival of September 1. That is the day the main opposition party, CHADEMA, has declared a day of nation-wide demonstrations against what it calls the dictatorial tendencies of the Chama cha Mapinduzi (CCM) Government. The CCM Government has threatened to deal harshly with the demonstrators, who, on their part, have pledged to go ahead with the demonstrations.

The CCM Government is fabricating a crisis where none need exist. It is not fate that is unfolding, but sheer hubris on the part of the powers that be. If the CCM Government has any sense, all it has to do is respect the Tanzanian constitution and the political parties act, which together recognize the people's right to peacefully assemble and hold demonstrations. CHADEMA has stated, repeatedly, that they are organizing peaceful demonstrations.

In view of this declaration, repeated and amplified time and again, it is patently absurd and unconscionable for the CCM Government to resort to threats and intimidation, and to prepare for confronting with violence citizens who seek to exercise their fundamental rights. The CCM Government can go ahead with its evil schemes, but, eventually, justice will prevail, as it has always done everywhere, since time immemorial.

---
By Prof. J. Mbele via blog post.

Customer complaints: CRDB not responding to email messages for a week now

Hello friends,

For a week now I am trying to reach [email protected] and [email protected] without success. I am not receiving bounce notices so I assume the addresses are correct. Anybody know what is going on?

Thanks in advance.