Mahojiano na Prof. Julius Nyang'oro

Julius Nyang'oro
Profesa Julius Nyang'oro ni Mwalimu, mtaalam wa sayansi ya siasa na mwanasheria.

Amekuwa mwalimu tangu mwaka 1977 nchini Tanzania na hapa nchini Marekani.

Ni mwandishi wa vitabu zaidi ya 14, vingi vikiigusia Tanzania kwa namna moja ama nyingine. Moja ya vitabu alivyoandika, na ambavyo vilimtambulisha zaidi kwa jamii ya waTanznia, ni kumhusu Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo ameandika vitabu viwili kumhusu.

Prof Nyang'oro alikuwa mkarimu sana kuungana nasi kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU Jumatatu ya Agosti 29, 2016 kuzungumzia mambo mbalimbali kuihusu Tanzania akiwa mwandishi, mwalimu, mtaalamu wa mausala ya siasa na mwanasheria

KARIBU.

Ethiopia and Tanzania agree on power export deal

The planned Grand Ethiopian Renaissance Dam project
August 28, 2016 (ADDIS ABABA) – Tanzania is set to sign electricity power export deal with Ethiopia making it the fourth African country purchasing electricity from the latter.

Ethiopia’s national power company (EEP) on Saturday announced that Tanzania has agreed to purchase 400 MW of Ethiopia’s hydro-power processed electricity.

EEP’s Chief Executive Officer, Azeb Asnake said the agreement between the two countries will be finalized in the coming weeks.

Azeb said the new power export deal will fosters economic integration and strengthens multilateral ties between the two countries.

The power transaction will create further economic integration between Tanzania and Kenya as the latter sits between Ethiopia and Tanzania, the CEO told the state run Ethiopian News Agency.

“Because when Tanzania gets electric power from Ethiopia, it has to pass through Kenya,” she said, adding, "When two countries are integrated economically, then they have to watch out for their political relationship as well”.

The horn of Africa’s nation is investing billions of dollars to construct a number of hydro-electric power plants including what would be Africa’s largest Dam known as Grand Ethiopia Renaissance Dam (GERD).

GERD which is being constructed along the Nile River in the Benshangul Gumz region near the Sudanese border is currently over 50 percent complete and will have power generation capacity of 8,000 MW.

The Ethiopian government says construction of the massive dam project will transform the country’s vision to become a leading power exporter in the East African region hub for the renewable energy in Africa.

Ethiopia hopes to become a middle income nation by 2025. Currently, it exports hydro-power processed electricity to its neighbors: Kenya, Sudan and Djibouti.

Ethiopia intends to export power to seven neighboring countries after the completion of the mega dam project.

Azeb further said Ethiopia also signed a Memorandum of Understanding with Burundi and Rwanda.It also has plans to link its grid with South Sudan, Uganda and Yemen.

According to official estimates Ethiopia’s potential power production capacity from hydro as well as geothermal, wind and solar energy over 60,000 MW which is roughly equal to half of Africa’s current installed capacity (147,000MW).

--
By Tesfa-Alem Tekle
via Sudan Tribune

Tanzania gets US$3.1 million grant for Eastern Arc Mountains conservation


An agreement for the grant was signed in the east African nation’s commercial capital Dar es Salaam between the Deputy Norwegian Ambassador to Tanzania, Trygve Bendiksby and the Chief Executive Officer of the Eastern Arc Mountains Conservation Fund, Francis Sabuni.

Sabuni said the grant will go a long way in ensuring that the forests were protected given their unparalleled global, national and local importance.

He said the mountains played an important role in safeguarding the lives of almost 25 percent of the Tanzanian population since they were a source to various water bodies including the Ruvu River which provided water to the whole Dar es Salaam with a population of five million people. Enditem

Source: Xinhua

[pdf] Report - Child poverty, inequality and demography: Why sub-Saharan Africa matters for the Sustainable Development Goals


Overseas Development Institute (ODI), Child poverty, inequality and demography: Why sub-Saharan Africa matters for the Sustainable Development Goals, August 2016, available at: http://www.refworld.org/docid/57c440364.html [accessed 30 August 2016]


Advice from a man who's just retired at 34 for some of us seeking financial independence

"A mistake a huge number of people make in the States is I don't think they really know how much money they spend on stuff that probably doesn't make them happy. You don't have to dedicate your whole life to budgeting or anything, but set up Mint or Personal Capital, look through it all, and try to figure out how much of that money is going to your happiness.
"A lot of people are spending money on stuff that might have made them happy a year ago — maybe buying a new car on credit but now the car is old, or spending a fortune commuting to live in a big house in a neighborhood far from work. Figure out what makes you happy, and start investing accordingly."
"People are so used to paying for luxury, to be pampered all the time, but the hard stuff in life is the best stuff,"
Says Brandon, 34-year-old software developer and blogger behind the Mad Fientist — who doesn't use his last name online for privacy reasons — who officially retired On August 1, 2016.

Kipanya: Hakunaga vuguvugu?


Photo of the first Q400 for Air Tanzania


Get the details from the photo source: airliners.net

Geline Fuko invites you for a chat: Key secrets to lead social change


Mnataarifiwa kuwa mashine ya MRI Muhimbili haifanyi kazi kwa muda

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inapenda kuujulisha umma kwamba mashine ya MRI itasimama kwa muda kufanya kazi baada ya kuharibiika. Mashine hii iliharibiika tarehe 24/08/2016 baada ya kutokea hitilafu ya umeme.

Baada ya kuharibiika, tarehe hiyo (24/08/2016) mafundi wa Philips kwa kushirikiana na mafundi wetu walianza kutafuta athari baada ya kutokea kwa hitilafu ya umeme.

Tarehe 26/08/2016, mafundi walibadilisha betri zote 31 na kufunga mpya ili kuongeza ufanisi katika mashine hii kwa kuwa betri za awali zilikuwa zimefungwa muda mrefu. Tarehe 28/08/2016 mafundi walibaini kwamba kifaa cha Gradient Module kilikuwa kimeharibiika na tayari hospitali kwa kushirikiana na Philips wameagiza kifaa hicho kutoka Uholanzi.

Hospitali ya Taifa Muhimbili inawaomba radhi wananchi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

Imetolewa na:
John Stephen, Ofisa Uhusiano,
Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Wateja,
Hospitali ya Taifa Muhimbili

Tarehe 29/08/2016

CWT Arusha yampa Mkurugenzi siku 14 kuhusiana na walimu kuvuliwa madaraka

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Arusha, kinakusudia kuandaa maandamano yasiyokuwa na kikomo endapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Athuman Kihamia, hatafanya mazungumzo na walimu wakuu na waratibu elimu 33 waliovuliwa madaraka -- MTANZANIA limeripoti.

Pia kimetoa siku 14 kwa Kihamia kutengua barua za kuwavua madaraka walimu hao kwa tuhuma za kuwa na wanafunzi hewa na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh milioni 27.

Akitoa tamko la kupinga kuvuliwa madaraka walimu hao mjini hapa jana, Kaimu Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Arusha, Andrew Ngazu, alisema walimu hao walivuliwa madaraka kwa kuonewa kwa sababu hawakusikilizwa na mwajiri wao huku wakiwa hawajashirikishwa.

Alisema CWT wanaunga jitihada za Rais Dk. John Magufuli za kuhakiki ili kubaini shule zenye wanafunzi hewa ila wanapinga jinsi mpango huo ulivyoendeshwa katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.
“Tunampa siku 14 atengue barua za kuwavua madaraka walimu na waratibu hao, tutakuwa tayari kukaa meza moja ya majadiliano na mkurugenzi huyo kwa ajili ya suala hilo iwapo atakubali kutengua barua hizo kwanza.
“Asipofanya hivyo tutafanya maandamano ya walimu wa shule za msingi na sekondari za halmashauri ya jiji pamoja na wilaya za jirani, maandamano yasiyo na kikomo hadi mkurugenzi atakapowasikiliza walimu hao wakijitetea,” alisema Ngazu.
Kwa upande wake, Kaimu Katibu wa CWT Mkoa wa Arusha, Nurueli Kavishe, alisema wamejiridhisha pasipo shaka kuwa walimu hao wameonewa kwa sababu katika orodha ya wanafunzi hao kuna waliohama ila wanaitwa wanafunzi hewa.

Alisema idadi ya wanafunzi hubadilika kwa sababu kuna waliohama, wengine wanahamia na wanaomaliza shule hivyo lazima idadi itofautiane kuhakiki wanafunzi na Serikali haijawahi kutoa maelekezo kuwa akihama fedha zake zipelekwe wapi.
“Mkurugenzi aunde tume huru atushirikishe na sisi ili tupitie suala hili, asionewe mtu na asipofanya hivyo tutaenda kuandamana kwa sababu wenzetu wamedhalilishwa bila kushirikishwa,” alisema Ngazu.
Naye Mwenyekiti wa CWT Jiji la Arusha, Grace Msaki, alisema suala la wanafunzi hewa limewaathiri walimu huku wengine hivi sasa wakipita njiani wanaitwa wezi.

Kiongozi aadhibiwa kwa kuchapwa bakora mbele ya mkutano wa hadhara

Mwenyekiti wa Kijiji cha Simike Kata ya Lufingo wilayani Rungwe, Efram Kapondany’a amechapwa bakora mbele ya mkutano wa hadhara baada ya kuwasilisha Sh 10,000 tu akidai ndiyo mapato ya mwaka ya masoko na magulio ya kijiji, limeripoti gazeti la MTANZANIA.

Inaelezwa kuwa mwenyekiti huyo alikuwa amegoma kuwasomea wanakijiji mapato na matumizi ya kijiji kwa zaidi ya mwaka mmoja, hali iliyowakasirisha wananchi hao na kuamua kumcharaza viboko mkutanoni.

Kwa mujibu wa wananchi hao, Mwenyekiti huyo na Ofisa Mtendaji wa Kijiji hicho, Babelina Mlaghala walichakachua mali za kijiji pia Kupiga chenga kutoa taarifa ya mapato na matumizi ya kijiji hali iliyosababisha wachukue hatua madhubuti ya kumcharaza bakora mwenyekiti huyo kama fundisho.

[video] Taarifa ya CUF: Waliositishwa, Waliosimamishwa uanachama na Waliosimikwa uongozi wa muda


Chama cha Wananchi (CUF) kimemfukuza uwanachama Kaimu Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Wazee Shashu Legeye na kuwasimamisha uwanachama wanachama 11 kufukuzwa baada ya kusababisha vurugu la Mkutano Mkuu uliofanyika Agost 21 katika Ukumbi wa Ubungo Plaza Dar-es salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari huko Ofisini kwake Vuga Naibu Katibu Mkuu wa CUF Nassor Ahmed Mazurui amesema Baraza kuu la Uongozi la Taifa la Chama kimeamua kuchukua hatua za kinidhamu kwa Viongozi na wanachama waliohusika kuchochea vurugu hizo.

Amesema kuwa hatua hiyo imekuja baada ya wanachama hao kutokuwa na uaminifu kwa chama na kukubali kurubuniwa na baadhi ya vyama vya siasa na kutumiliwa kufanya vurugu.

Aliwataja wanachama waliosimamishwa kuwa ni Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, Magdalena Sakaya, Abdul Kambaya, Ashura Mustafa, Omar Muhina Masoud,Thomas Malima, Kapasha H. Kapasha, Maftaha Nachuma,Mohammed Habibu Mnyaa, Haroub Shamis na Mussa Haji Kombo. Rukiya Kassim Ahmed na Athumani Henku wamepewa karipio kali.

Mazrui amesema Baraza Kuu la Taifa la CUF limewateuwa wajumbe wengine wa Kamati ya Uongozi wakiwemo Julius Mtatiro kuwa Mwenyekiti wa CUF, Katani Ahmed Katani na Severina Mwijage kuwa Wajumbe.

Aidha Baraza Kuu limewateua Joran Basange kuwa Kaimu Naibu Katibu Mkuu kwa upande wa Tanzania Bara, Mbarala Maharagande kuwa Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma hadi nafasi zitakapojazwa rasmi kwa mujibu wa sheria ya CUF.

Hata hivyo Naibu Katibu Mkuu amewahakikishia wanachama na wapenzi wa CUF kuwa chama bado kipo imara na makini na hakitoyumbishwa kwa hila na njama za wasaliti.

Nae Naibu Mkurugenzi Mipango na Uchaguzi Sheweji Mketo amesema kuwa wao wanafanyakazi ya siasa kwa kuwakomboa Watanzania na wamejipanga kuhakikisha wanachukua Dola uchaguzi wa 2020.

---

Taarifa ya Rahma Khamis/Kijakazi Abdallah
IMETOLEWA NA HABARI MAELEZO, ZANZIBAR.

Taarifa ya habari ChannelTEN Agosti 29, 2016Viongozi zaidi ya 60 wa CHADEMA wakamatwa; Lema atoka rumandeViongozi wa CHADEMA zaidi ya 60 wakiwemo wabunge na viongozi wa kitaifa (Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Makamu Mwenyekiti, Naibu - Bara, Naibu - Zanzibar) wamekamatwa leo na jeshi la polisi likiongozwa na OCD wa Oysterbay majira ya saa 9 wakiwa katika kikao cha pamoja cha kamati kuu kilichokuwa kikifanya katika Hoteli ya Giraffe.
Viongozi hao walifikishwa wa katika Kituo Kikuu cha Polisi Kati (Central) kwa mahojiano zaidi.

Akizungumzia hatua ya kukamatwa kwa viongozi hao, Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), alisema wameshangazwa na hatua hiyo ambayo aliita ya uonevu.

Alisema hatua ya kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA si jambo la kushangaza kwani pamoja na hali bado hawajakata tama na wataendelea na harakati za kudai demokrasi ya kweli nchini.

Aliongeza kuwa kikao hicho kulikuwa na wajumbe 178 -- limearipoti gazeti la MTANZANIA.


Wakati huo huo, mjini Arusha inaripotiwa na TBC kuwa Mbugne wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefikishwa katika mahakama ya hakimu Mkazi wa mkoa huo na kusomewa kesi mbili zinazomkabili. Akisoma mashitaka hayo, mbele ya hakimu wa Mahakam hiyo, Desidery Kamugisha, Waziri wa serikali, Innocent Njau amesema Lema anakabiliwa na kesiya kumwandikia ujumbe wa vitisho Mkuu wa Mkoa wa Arusha kupitia simu ya mkononi, huku kesi nyingine ikiwa ni kusambaza ujumbe wa sauti kupitia mtandao wa simu za mikononi wa kuhamasisha maandamano ya tarehe Mosi Septemba. Kesi imeahirishwa hadi Septemba 13, 2016 huku mtuhumiwa akiachiwa kwa dhamana kwa masharti ya kutokusafiri nje ya nji ila kwa kibali cha mahakama.

Huko mkoani Kilimanjaro katika wilaya ya Rombo, madiwani watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo na mjumbe wa serikail ya kijiji cha wamefikishwa katika mahakama ya Rombo leo kwa tuhuma za uchochezi. Ripota wa habari wa Radio Sauti ya Injili akiwa Rombo amesema madiwani Nicholaus Kimario (Kata ya Kirongo Samanga), Anisia Mede (Viti Maalum) na Daudi Mlasini (Kingachi) na mjumbe wa Kirongo Samanga.

Kwamba, mwendesha mashitaka Bernard Machibya akisaidiana na mwendesha mashitaka wa polisi Stanslaus mbele ya Hakimu Mkazi, Naomi Mwirinde amedai kuwa watuhumiwa walitenda kosa kinyume na kifungu 55 (1) sura 16 kanuni ya adhabu iliyofanyiwa marakebisho mwaka 2012 ambapo wanadaiwa tarehe 25 Agosti walifanya mkutano wa ndani huko Kirongo Samanga bila uhalali kwa kuhamasisha na kusababisha wananchi kuichukia mamlaka ya Jamhuri ya Muungano pamoja na serikali yake. Daudi Mlasani amedaiwa kufany akosa kama hilo huko Useri.

Washitakiwa walikana mashitaka yote. Waendesha mashitaka waliiomba mahakama iwanyime washitakiwa dhamana chini ya kifungu cha 148 (4) kwa hoja kuwa upepelezi wa awali haujakamilika, watuhumiwa wengine wanatafutwa na kuwa washitakiwa wakiachiwa watasababisha uvunjifu wa amani katika maeneo yao, ombi ambalo liliridhiwa na Hakimu hadi tarehe 5 Septemba siku kesi hiyo itakaposomwa tena.

Climate change predicted to halve coffee-growing area that supports 120m people

Climate change is going to halve the area suitable for coffee production and impact the livelihoods of more than 120 million of the world’s poorest people who rely on the coffee economy, according to a new report by the Climate Institute, commissioned by Fairtrade Australia & New Zealand.

The report findings follow stark warnings by some of the world’s biggest coffee producers, including Starbucks and Lavazza, who have said climate change is posing a severe risk to the industry.


Climate change is already impacting coffee crops around the world, according to the report. In Tanzania, where 2.4 million people’s livelihoods rely on coffee, production has fallen by about 137kg per hectare for every 1C rise in the minimum temperature on farms. Overall there has been a 50% decline there since the 1960s.

Extreme temperatures and unusual high-altitude rains have also sparked costly waves of pests and disease through coffee farms. In 2012, coffee leaf rust affected half of the coffee across Central America – some producers in Guatemala lost up to 85% of their crop.

In 2012-13 the damage in Central America amounted to about US$500m and put 350,000 people out of work.

How climate change will impact coffee growers in coming decades will vary by region. Scientists think Nicaragua could lose the majority of its coffee-growing areas by 2050, and in Tanzania, coffee yields were projected to reach “critically low levels” by 2060.

By 2080, scientists think wild coffee, which is important for genetic diversity of farmed coffee, could be extinct.

For consumers of coffee, all of this will impact flavour, aroma and price, the report said.

Some large coffee producers have been warning the world about the impacts of climate change. In 2015, Mario Cerutti from Lavazza told a conference: “We have a cloud hovering over our head. It’s dramatically serious. Climate change can have a significant adverse effect in the short term. It’s no longer about the future; it’s the present.”

And in 2011, Jim Hanna, director of environmental affairs at Starbucks told the Guardian that climate change is a “potentially significant risk to our supply chain”.

“If we sit by and wait until the impacts of climate change are so severe that is impacting our supply chain then that puts us at a greater risk,” he said.

Since most coffee growers are poor smallholders, their ability to adapt to climate change on their own is limited.

To adapt, coffee farmers could move to higher ground or away from the equator. But since coffee plants take several years to become productive, that would often be impossible without assistance. Other strategies involve developing more resilient production systems and diversifying crops, which also require support.

“There are things we coffee drinkers can do to assist,” said John Connor, the chief executive of the Climate Institute.

Connor said consumers should only buy brands that “provide a fair return to farmers and their communities while helping to build their capacity to adapt to climate change”.

Fairtrade, which commissioned the report, said its “Fairtrade Climate Neutral Coffee” did that. And in 2010, several big coffee companies set up the “initiative for coffee and climate” which seeks to help farmers respond to climate change.

Source: www.theguardian.com