Visa begins Mobile-Money Service in East Africa


By Bella Genga via BLOOMBERG News -- Visa Inc., the world’s largest payments network, introduced a mobile-phone application to enable cashless transactions in Kenya, where the majority of wireless payments are being done through the nation’s biggest telecommunications company, Safaricom Ltd.
The mVisa app will initially facilitate transactions for people with accounts at four banks, including KCB Group Ltd. and Co-operative Bank of Kenya Ltd., according to Visa Emerging Markets Senior Vice President Uttam Nayak.

Africa had 557 million mobile-phone users at the end of 2015, according to the GSM Association, an industry group. The company estimates 84 million of them still pay by cash.

“Those can be converted overnight,” Nayak said in the Kenyan capital, Nairobi. “We are very proud that it is inter-operable and not dependent on a bank and not dependent on a mobile operator. It democratizes payments,” he said of the system.

Users of mVisa make payments by scanning a unique merchant Quick Response, or QR, code using their smart phones. About 1,500 merchants have signed up already and Kenyan lenders with units in the region want to introduce the system in neighboring nations.

Visa is in talks to roll out the product in Uganda, Tanzania and Rwanda within two months and expects to have the first Nigerian bank signing up by end-2016. It has also held “a number of conversations” in South Africa, according to Visa’s head for sub-Saharan Africa, Andrew Torre.
Competition

The company hasn’t been able to penetrate the African merchant base with its traditional card payments system, he said.

“One of the reasons is we haven’t had as many cards as we’d like, the other reason is we haven’t been able to engage the hundreds millions of merchants where people shop,” Torre said.

The company launched the mobile phone-payments application in India in 2015 in partnership with seven banks, including the State Bank of India, and 30,000 merchants have signed up so far. The nation has 600 million bank accounts out of a population of 1 billion people, according to Nayak.

Safaricom, Vodafone Plc’s Kenyan unit, facilitated mobile-phone transactions valued at 5.29 trillion shillings ($52.3 billion) in the year through March 2015. The company had 49,413 active merchants and companies on its payment-collection service that settled trades worth 11.6 billion shillings in the same year.

“There is a lot of learning from Kenya,” Torre said. “Nigeria doesn’t even have any rising tide at the moment,” he said, referring to mobile-based transactions.

CHADEMA yaiomba serikali iwarudishe mabati waliyotoa kwa waathirika wa mafuriko MwakataKAHAMA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Kahama mkoani Shinyanga kimetoa tamko la kuiomba serikali kurejesha msaada wa mabati zaidi ya 800 yaliyotolewa na Chama hicho kwaajili ya ujenzi wa nyumba za wahanga wa mafuriko

Tamko la Chama hicho kudai msaada huo limetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Juma Protase Ntaimpera ambaye alisema azimio la Chama hicho linatokana na tamko la Rais John Magufuli kubainisha kuwa serikali haina nia ya kujenga nyumba za wahanga hao.

Ntaimpera alisema kutokana na tamko hilo la Rais alilotoa wakati wa ziara yake Wilayani Kahama mwshoni mwa mwezi Julai mwaka huu, CHADEMA waliandika barua kwa Mkuu wa Wilaya kuitaka serikali kurejesha msaada huo

Mwenyekiti huyo alisema baada ya serikali kurejesha mabati hayo, Chama kitayagawa kwa watu wenye mahitaji ili wayatumie katika ujenzi kwa kuwa wanaishi katika mazingira magumu.

Ntahimpera aliongeza kuwa CHADEMA walitoa msaada huo kwa nia njema kwa ajili ya kuwasaidia wahanga wasiojiweza hasa kwa kuzingatia ugumu wa maisha wanaokutana nao baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba zao. Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Mwakata kata ya Mwenda walibaki bila makazi na wengine kupoteza maisha.


Umeanza "kunipiga saundi" tangu enzi za Mkapa


Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Septemba 15, 2016 • Shukurani ya vipande vya magazeti kutoka kwa Mjengwa Blog

Why put phone on ‘Airplane Mode’ on take off / landing - Kwa nini simu izimwe ndege ikipaa au kutua

This is what turned that Russian river red = Sababu za mto kutitirisha "damu"

A nickel-producing company near a river in Siberia has provided more information on what caused a river to turn red.


Siku chache zilizopita, vyombo vya habari, ikiwemo vya nchini Tanzania, viliripoti habari kuhusu mito kutiririsha 'damu' badala ya maji. Kampuni moja ya Siberia imetoa maelezo kuhusu maji hayo kubadilika rangi na kuwa mekundu kutokana na mabaki ya metali na kemikali za kiwanda kimoja na hivyo kusababisha uchafuzi wa mazingira na maji yanayotumiwa na watu kwa mahitaji yao ya kila siku, kama inavyoripotiwa katika video iliyopachikwa hapo juu.

The most and least innovative countries in the world

A new map by the Global Innovation Index 2016 created by The Independent's i100  ranked countries by measuring seven key metrics that enable innovation in Infrastructure, Human capital and research
Institutions, Market sophistication, Business sophistication, Knowledge and technology outputs and Creative outputs.

Here is how each country stands out (the darker the shade of red, the more innovative the country). 


Switzerland ranked number one, followed by Sweden, with the United Kingdom coming in third.

The most innovative countries pass progressive laws, boast world-class education systems, and do business intelligently and creatively.

Yemen (Middle East), Guinea, and Togo (Africa) were named the least innovative countries in the world.

The annual Global Innovation Index is now in its ninth year and is the most comprehensive report of its kind.  It is put together by researchers from Cornell University, the World Intellectual Property Organisation, and INSEAD Business School.

Here's how eating sugar affects your health


In the late 1960s, a food industry group called the Sugar Research Foundation paid three Harvard researchers $6,500 (about $50,000 today) to discount research that increasingly showed links between sugar and heart disease and to point the blame at fat instead, according to an analysis of historical food industry documents that was published September 12.

The report those Harvard scientists published transformed the American diet, causing people to steer clear of fatty foods, which led many to sugar-packed snacks instead. But as a significant body of research now shows, excessive sugar consumption can be devastating for our health.

Even though we're now more aware of the risks of too many sweets, there are still plenty of myths about sugar and what it actually does to us. After all, sugar is just the name for a simple carbohydrate, and there's always been some sugar in our diets. The problem is that today the average American consumes more than twice what the US Food and Drug Administration (FDA) — and four times what the World Health Organization (WHO) — recommend as safe. And that's dangerous.

Child burned by cell phone that burst into flames as he played on it


A little boy playing a game on his mother’s cell phone was seriously burned after it burst into flames, his family said.

Six-year-old Kadim Lewis was sitting in his grandmother’s bedroom at his New York home, fiddling with the Samsung Galaxy Core when it suddenly caught fire, grandfather John Lewis told WCBS-TV.

“He was playing with the phone because he always has it,” Lewis told the station.

The boy’s mother, Marsha Lewis, said “The phone caught on fire, then the battery exploded, so he threw it on the floor. Then it was just like fireworks in the house.”

A frightened Kadim ran outside. Police and a fire truck arrived because the burning phone set off the house’s smoke detectors.

“We all were nervous,” said Kadim’s house.

The child was taken to a nearby hospital, where he was treated for first-degree burns Saturday night.

Kadim went back to school this week, despite his bandaged hand and his newfound fear of cell phones.

“He was kind of timid because he doesn’t want to see no phone,” his grandpa said.

Taarifa ya habari ChannelTEN Septemba 14, 2016Waziri wa Afya aagiza Makatibu Tawala kuruhusu wauguzi kufanya tafiti

WAZIRI WA AFYA AWAAGIZA MAKATIBU TAWALA KUTOA RUHUSA KWA MANESI KUFANYA UTAFITI WA AFYA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amewaagiza Makatibu Tawala wa mikoa yote nchini kutoa ruhusa kwa manesi ambao ni wadadisi wa Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya UKIMWI Tanzania wa mwaka 2016 ili kufanya utafiti huo.

Akizungumza leo katika hafla ya kuhitimisha mafunzo ya wadadisi hao iliyofanyika mkoani Dodoma, Waziri Ummy amesema utafiti huu ni wa muhimu sana hivyo Makatibu Tawala hawana budi kuwaruhusu manesi hao waliopata mafunzo kufanya utafiti huo.

“Ninawaagiza Makatibu Tawala wote nchini kuhakikisha wanatoa ruhusa kwa manesi mliopo hapa leo ili muweze kulisaidia taifa letu kwa kutuletea takwimu sahihi zitakazosaidia katika kutunga sera na kupanga mipango ya maendeleo hususani katika suala zima la afya”, ameagiza Mhe. Ummy Mwalimu.

Amefafanua kuwa, takwimu hizi zitasaidia kuboresha juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali za kusogeza huduma zinazohusiana na VVU kama vile huduma za upimaji wa VVU bure katika vituo vya kutolea huduma za afya vya Serikali, kutoa huduma ya kupunguza maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTCT) pamoja na utoaji wa dawa za kupunguza makali ya VVU zijulikanazo kama ARV.

“Utafiti huu ni wa kipekee ukilinganisha na tafiti zingine zilizofanywa zinazohusu UKIMWI kutokana na kujumuisha upimaji wa homa ya ini ambao umekuwa tishio katika baadhi ya nchi barani Afrika”, amesisitiza Mhe. Ummy.

Aidha, Waziri Ummy ametoa wito kwa wananchi wote nchini kutoa ushirikiano kwa wadadisi watakaopita katika kaya mbalimbali zilizochanguliwa kwa ajili ya kufanya utafiti huu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa amesema utafiti huu utahusisha watu wote kwenye kaya zipatazo elfu kumi na sita (16,000) zilizochaguliwa kitaalam na kuwafikia watu wazima wapatao elfu arobaini (40,000) na watoto zaidi ya elfu nane (8,000).

Dkt. Chuwa ameeleza kuwa, takwimu hizi zitaisaidia Serikali katika kupanga na kusimamia utekelezaji wa sera mbalimbali zinazohusu sekta ya afya nchini hususani upatikanaji wa huduma za afya.

Wadadisi wapatao 187 ambao ni manesi kutoka hospitali mbalimbali nchini, wamemaliza mafunzo ya Utafiti wa viashiria na Matokeo ya UKIMWI ambao unatarajia kuanza wiki ijayo.

Utafiti wa viashiria na Matokeo ya UKIMWI utahusisha upimaji wa UKIMWI, maambukizi mapya na wingi wa VVU mwilini kwa watu wanaoishi na VVU, wingi wa chembechembe za kinga mwilini (CD4 T-cell count), kiwango cha usugu wa dawa za ARV, kiwango cha maambukizi ya kaswende pamoja na homa ya ini (Hepatitis B na C).

MWISHO.
Imeandikwa na
Emanuel Ghula
Dodoma
14 Septemba, 2016.

Taarifa ya BoT ya Hali ya Uchumi - Prof. Ndulu: Fedha za “dili” ni kweli “zimekauka”

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu, akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari kwenye ukumbi wa Museum wa Benki hiyo jijini Dar es Salaam, leo Septemba 14, 2016 kuhusu hali ya uchumi wa taifa. (PICHA NA K-VIS BLOG/Khalfan Said)
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu, amesema hali ya uchumi wa Tanzania ni ya kuridhisha tofauti na taarifa zinazozagaa kuwa uchumi wa nchi umedorora.

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Museumwa Benki hiyo jijini Dar es Salaam, leo Septemba 14, 2016, Gavana huyo alisema, hali ya uchumi ni imara kwa vile tangu kuingia kwa serikali ya awamu ya Tano, mfumuko wa bei umedhibitiwa na unashuka siku hadi siku hali kadhalika, thamani ya shilingi nayo inaendelea kuimarika.

Profesa Ndulu pia alisema,si kweli kwamba, fedha zimepungua mitaani bali fedha zipo ila fedha za “dili”ni kweli “zimekauka” na hii ni kutokana na jitihada za serikali katika kuziba mianya ya rushwa, wakwepa kodi na matumizi mabaya fedha za umma.

Aliwatoa hofu wananchi kwa kusema kuwa, hali ya uchumi wetu itaendelea kuimarika katika mwaka 2016 kutokana na viashiria kadhaa ambavyo ni pamoja na uzalishaji wa umeme katika nusu ya kwanza ya mwaka 2016, umeongezeka kwa asilimia 14.5 kufikia KwH milioni 3,454.2 ikilinganishwa na na kWh milioni 3,016.7 katika kipindi kama hicho mwaka 2015.

Akifafanua zaidi alisema, ongezeko hilo la umeme limetokana na jitihada za serikali katika kutumia nishati ya gesi kwenye uzalishaji umeme kufuatia kukamilika kwa bomba la gesi kutoka Mtwara na Lindi hadi Dar es Salaam pamoja na mtambo wa Kinyerezi I. 
“Umeme unaozalishwa kwa kutumia nishati ya gesi umeongezeka kwa asilimia 52.2, hali itakayosaidia kuongezeka kwa uzalishaji viwandani pamoja na sekta nyingine zinazotegemea nishati ya umeme, na hivyo kuchangia katika kuongeza pato la Taifa na pia ghjarama ya umeme itashuka.” 
“Kumekuwepo na taarifa nyingi zinazozagaa kuwa uchumi umedorora, lakinikwanza napenda niweke wazi, mimi si mwanasiasa, mimi nataka kulizungumzia swala hili kitaalamu, ukiangaliatakwimu za Ofisi ya Takwimu ya Taifa, hali ya ukuajiwa uchumi wa Tanzania imeendelea kuwa ya kuridhisha, katika robo ya kwanza ya mwaka 2016, ukuaji wa Pato la Taifa unakadiriwa kuongezeka kwa asilimia 5.5 ikilinganishwa na ongezeko la asilimia 5.7 katika kipindi kama hicho mwaka 2015, sasa kwa takwimu hizi hauwezi kusema uchumi umedorora, hii si kwelikabisa,” alisema Profesa Ndulu.
Taarifa kamili ya Profesa Benno Ndulu kuhusu hali ya uchumi imepachikwa hapo chini.

Profesa Ndulu na wasaidizi wake kutoka kushoto, Meneja Uhusiano na masuala ya peotokali, Zaria K. Mbeo, Mkurugenzi wa Sera na Uchumi, Johnson Nyela, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mabenki, Kened A. Nyoni, wakinakili maswali toka kwa waandishi wa habari
Bi Mbeo

Job: Project Engineer - Micro Hydro Power - Tanzania

Project Engineer - Micro Hydro Power

Who do we represent?

A multinational group operating across Southern and Eastern Africa are looking for a Project Engineer to be based in Tanzania, They are one of the leading Micro Power groups working in the region the group have a number of other interests.

Responsibilities
 • Finishing the development stages of small local hydropower projects in Eastern Africa
 • Taking charge of the construction process
 • Training and developing local staff on-site on how to handle, manage and maintain the project, turbines, racks, valves and other machinery
 • Dealing EPC contractors, IPP bidding projects, PPA negotiations and project development in general
 • Management of contractors on site
Requirements
 • Educated up to a degree level or equivalent in hydro power engineering or relevant field
 • Proven success with previous hydropower projects
 • At least 5 years of experience with hydropower
 • Experience with project managing a hydropower plant’s construction
 • Previous experience in Africa is highly preferred!
 • Fluency in English is absolutely vital.
Who are Millar Cameron?

Millar Cameron is a global leader for recruitment of professionals into Emerging Markets, focusing on regions such as Africa, South America, the Middle East and Asia. Supporting some of the largest energy companies around the world in their operations we are always in search of new talent with specific skillsets.
Reference: 30561488

Bank or payment details should not be provided when applying for a job. reed.co.uk is not responsible for any external website content. All applications should be made via the 'Apply now' button.

Moto wateketeza jiko la hoteli KCC Maili Moja, KibahaMoto mkali umeteketeza jiko la hoteli ya KCC ya Maili Moja, Kibaha mchana huu. Askari wa zimamoto bado wameendelea na uzimaji wa moto huo. Hakuna mtu aliyekufa kutokana na tukio hilo la moto. 
 • Picha zote: CATHBERT KAJUNA wa KAJUNASON blog.