Someone just bought his dog $9,584 worth of iPhones because they can, that's why


Wang Sicong, the son of Chinese real estate billionaire Wang Jianlin, posted a photo to his dog Coco's Weibo account on Friday of his Alaskan malamute with her new iPhone 7s — all eight of them.

The dog appears to have both the rose gold and black varieties of the new phone.

According to CNN, the post is accompanied by the caption, "I don't understand all the show-off posts on (social media). What's the point? Don't make me do it?"

In China, a 256 GB iPhone 7 costs 7,988 yuan, or about $1,198 USD, which means Wang could have spent as much as $9,584 on iPhones for his dog (although it's not clear from the photos which model he chose).

This isn't the first time Coco got some expensive tech accessories. Wang Sicong made headlines in 2015 when he gave Coco two pricey ose gold Apple Watches — one for each front paw — reportedly worth $12,000 each.

Known as "China's richest son," Wang's father is worth an estimated $28.8 billion and is the world's 20th richest billionaire. Wang Jianlin is the chairman of the Dalian Wanda Group — the largest real estate developer in China. (Business Insider)

Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Septemba 21, 2016


ReviewVote Internet Marketing Scholarship (2016-2017)

Who Qualifies For The Scholarship?

ReviewVote scholarship is open to students who are currently studying in areas of;
 • Marketing,
 • Business,
 • Communication,
 • IT
Remember, you don’t have to be a pro to participate. A general understanding and passion for internet marketing will suffice.

Details at: reviewvote.com

2017/18 UCL LLM scholarships for international applicants

The Faculty currently offers the following scholarships for the LLM, to overseas applicants from outside the European Union, except The Master of the Rolls Scholarship which is open to all students from Commonwealth countries.
 • Five Bentham Scholarships
 • The Master of the Rolls Scholarship for Commonwealth Students
 • The John Carr Scholarship for students from Africa and the Caribbean
 • The Sir Frederick Pollock Scholarship for students from North America
 • The Sir John Salmond Scholarship for students from Australia and New Zealand
 • The Chief Justice Scholarship for students from India
The value of each of these scholarships is £5,000.

Find the details at: laws.ucl.ac.uk

Peter Faber Business School Postgraduate Scholarship

The Peter Faber Business School Postgraduate Scholarships are available to eligible international students commencing a course offered by the School of Business in 2017. Recipients will receive a AU$1,000 tuition-fee waiver for the first year of their course, provided they continue to successfully complete all their enrolled units. Scholarships are awarded to postgraduates who have a prior academic result of 70% or greater*.

Find the details at: www.acu.edu.au

Curtin Business School: 2017 MBA Global Future Leaders Scholarship

Description/Applicant information

The MBA (Global) Future Leaders Scholarship has been developed by Curtin University to encourage and support academically talented students to commence the MBA (Global) at Curtin University.

Nationality
 • Australian Citizen
 • Permanent Humanitarian Visa
 • New Zealand Citizen
 • International students
 • Australian Permanent Resident
Applications open: 05/09/2016
Applications close: 09/01/2017

Find the details at: scholarships.curtin.edu.au

Rave Scholarships for students from transition and developing countries

Rave Scholarships support further practical training for young curators, restorers, museum technicians and cultural managers from countries in transition and developing countries who have arranged a guest period, a practical training or non-paid work at a museum, at a non-commercial gallery or at a non-commercial cultural institution in Germany.

Conditions
 • Scholarships will be awarded to applicants
 • who come from a transformation or developing country and are still living there,
 • who did not have the opportunity yet to come for a longer stay or did not have further training or working stay in Germany,
 • who finished their professional training not longer than five years ago and are not yet over 40. Those still studying or training at the time of application will not be considered for selection,
 • who have found a non-commercial partner institution in Germany that has agreed to take care of them or agreed to a joint project,
 • who can provide a positive statement from their own country (reference),
 • Knowledge of one of the three languages German, English or French is a requirement.
Applicants who were rejected once cannot apply again.

The application date is 15 May each year. Selections will be made within 3 months.

More info: ifa.de

Tanzania lifts CECAFA Women’s Championship

Tanzania have made history by winning the first Women's Cecafa Championship
Tanzania are the 2016 CECAFA Women’s Championship after halting Kenya’s fine run by beating them 2-1 in the final played at the FUFA Technical Grounds, Njeru, Uganda on Tuesday.

Vintage Kilimanjaro Queens’s striker Mwanahamisi Omari delivered the goodies to condemn firm favorites Harambee Starlets to their first loss of the competition and secure the maiden glory for Tanzania.

Starlets had shown signs of fatigue heading into the final huddle when they struggled to go past Ethiopia 3-2 in the semifinals on Sunday raising doubts about the title credentials; the queens of the mountain were however majestic in the round of four humiliating hosts Uganda 4-1.

Omari hit the back of the net in the 27th minute before grabbing a brace a minute to the first interval. Starlets threatened a comeback early in the second half when Christine Nafula pulled one back for the Coach David Ouma’s side in the 48th minute but Tanzania could not bulge any further thereafter.

Vintage Doreen Nabwire was introduced for goal scorer Nafula in the 64th minute as Ouma sought the equalizer; he would again bring on Ambogo for Corazone Aquino in the 72nd minute but nothing was yielding as the queens of Tanzania held on to the big win.

Tanzania become the second winner of the regional competition after Zanzibar’s triumph in the inaugural version in 1986.

Harambee Starlets will now turn attention to the Africa Women Cup Nations (AWCON) slated for Cameroon in November; the Kenyan ladies will be carrying the East Africa flag in the continental showpiece.

Tetemeko la ardhi Kagera: Anaandika Mzee Ramadhani King

Haya yanayotokea Kagera Je ingekuwa ni mkoa mwingine kama Kusini ama Kaskazi! Je taarifa za habari huwa ni kweli? Leo nimesikia kuwa waathirika wa tetemeko wamekwishagawiwa Mifuko ya saruji na mabati wakati tathmini ikiendelea! Kagera ninayoifahamu mimi kwa miongo saba haijawahi kupatwa njaa! Mara ya mwisho Kagera kupatwa dhoruba hilo ni 1945 hadi 1948 na hiyo ilitokana na vita kuu ya pili ya dunia mimi sijazaliwa bado. Njaa hiyo ilijulikana kwa jina la "ibambura" mabati!

Wakati huu wa tetemeko hili, Kagera hawana njaa bali kinga ya baridi kali usiku na hii mvua nyemelezi! Maneno yanayozagaa ya kubweteka ni kauli zinazoongeza maumivu chuki, sonono na mifadhaiko kutokana na maneno ya kuudhi na kukatisha tamaa. Wana saikolojia watafahamu nini haya hapa juu! Kama ninalala nje na mtu akaja na hema na akasaidia kwa nini nisite kupokea! Uhai wangu ni kipaumbele cha kwanza kuliko siasa!

Wakati huu kwa Bukoba ni baridi sana usiku na mvua kwelikweli! Kagera pia hawasubiri mifuko ya sementi na mabati bali wanalisubiri taifa liuonyeshe mkoa huruma yake kwa moja ya mikoa yake! Aliweza kujenga nyumba bila msaada wa mabati hawezi akabweteka akisubiri misaada! Je unapopewa hema umejengewa nyumba? Tuko nchini mwetu hivyo ni budi huduma ziendelee! Tulikuwa tukifanya kazi kabla ya tetemeko na tunafahamu kwamba maisha yanaendelea na hamna mashaka kama njaa ya 1945-1948 haikuwaua basi tetemeko limepita sukari na chumvi si kipaumbele cha wanakagera bali mahema yawe mengi! Hakika wanaopaswa kushukuriwa zaidi ni TANESCO Kagera kwa jinsi walivyolihimili na kujiweka tayari na tetemeko hili. Mungu awajalie kwani ungelitokea moto basi gharika ingelikuwa ni kubwa mno!

Taarifa ya habari ChannelTEN Septemba 20, 2016Taarifa ya Ikulu: Rais ateua M/Kiti TACAIDS, Bodi Shirika la Posta, AICC


Japan ipo tayari kukarabati shule zilizoharibiwa kwa tetemeko la ardhi Kagera

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida kuhusu namna ambavyo Japan inaweza kusaidia waathika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Mazungumzo yao yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dares salaam Septemba 19, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini, Mheshimiwa Masaharu Yoshinda ambaye amemueleza kwamba Serikali yake ipo tayari kukarabati shule zilizoharibiwa na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera.

Pia imeomba kupatiwa orodha ya mahitaji ya dharura yakiwemo mahema, mablanketi, dawa na vifaa tiba kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko hilo.

Balozi Yoshinda ameyasema hayo leo (Jumatatu, Septemba 19, 2016) wakati alipokutana na Waziri Mkuu ofisini kwake Magogoni Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia masuala ya maafa yalitokea Kagera.

Kwa upande wake Waziri Mkuu ameishukuru Serikali ya Japan kwa hatua hiyo na kukiagiza Kitengo cha Maafa kilicho chini ya Ofisi yake kuwasiliana na Ubalozi wa Japan nchini na kuwasilisha orodha ya shule zilizoharibika pamoja na mahitaji ya dharura.

Wakati huo huo Waziri Mkuu amepokea msaada wa tani 2.5 za mchele, magodoro 200, mablanketi 100 na fedha taslimu sh. milioni 10 ili kusaidia wananchi waliothirika na tetemeko hilo.

Msaada huo umetolewa na wadau mbalimbali akiwemo Ofisa Utumishi wa Kampuni ya Chang Qing Inernational Investiment Limited ya nchini, Bi. Anna Jiang aliyetoa magodoro 200 yenye thamani ya sh. milioni sita.

Wengine ni Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Benki ya Exim, George Shumbusho aliyetooa sh. milioni 10 pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Urafiki kati ya Serikali ya Tanzania na China, Bw. Joseph Kahama aliyetoa mchele tani 2.5 pamoja na mabllanketi 100 vyote vikiwa na thamani y ash. milioni 10.

Waziri Mkuu amewashukuru kwa misaada hiyo na kuwaomba wananchi wengine wajitokeze kwa wingi ili kuwasaidia watu walioathirika na tetemeko hilo ambalo ni kubwa na halijawahi kutokea nchini.

Tetemeko hilo lilitokea Jumamosi, Septemba 10, 2016 na kusababisha vifo vya watu 17 na wengine 440 walijeruhiwa kati yao watu 253 walifikishwa Hospitali ya Mkoa, 153 walilazwa, 113 wametibiwa na kuruhusiwa na wengine 38 wanaendelea na matibabu ambapo kati yao watu 23 wamefanyiwa upasuaji mkubwa na wanaendelea vizuri.

Pia tetemeko hilo limesababisha nyumba 2,063 kuanguka huku nyingine 14,081 zikiwa katika hali hatarishi baada ya kupata nyufa na 9,471 zimepata uharibifu mdogo huku wananchi 126,315 wakiiitaji misaada mbalimbali.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
2 MTAA WA MAGOGONI,
S. L. P. 3021,
11410 DAR ES SALAAM.
JUMATATU, SEPTEMBA 19, 2016

Moja ya Ndege mbili za ATCL zilizonunuliwa na serikali yawasili


Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016.Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu, na maofisa wengine wakisubiri kuwasili kwa Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius leo Septemba 20, 2016


Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikipata saluti ya maji (Water Canon Salutation) toka kwa magari ya Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mara tu bada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016

Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikipata saluti ya maji (Water Canon Salutation) toka kwa magari ya Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mara tu bada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016


Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akisalimiana na Rubani aliyerusha Ndege mpya moja kati ya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016.

Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu, na maofisa wengine wakiwa kwenye Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius leo Septemba 20, 2016

Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu, na maofisa wengine wakiwa kwenye Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius leo Septemba 20, 2016


Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akipeana mikono kwa furaha na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu mara baada ya Moja ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius leo Septemba 20, 2016, Wengine ni marubani wa ndege hiyo.


 • PICHA NA IKULU