Video: Official Galaxy S9 and S9+


Maelezo ya Mnyika kuhusu tuhuma za uvunjifu wa sheria na maadili ya vyama vya siasa

22 Februari, 2018
MSAJILI YA VYAMA VYA SIASA
S.L.P 63010
DAR ES SALAAM

YAH: KUWASILISHA MAELEZO KUHUSU TUHUMA ZA UVUNJIFU WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA NA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA

Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb: HA.322/362/16/34 ya tarehe 21 Februari, 2018 kichwa cha habari hapo juu cha husika.

Kabla ya kuanza kutoa maelezo naomba kueleza misingi ya Katiba na kisheria kama ifuatavyo;