Hospitali zitakazokuwa vituo kwa wagonjwa wa Ebola Tanzania, vikosi kazi na hatua zilizochukuliwa na Serikali hadi sasa

(picha: mediad.publicbroadcasting.net)


Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mgonjwa mwenye virusi vya homa hatari ya ebola, wala anayehisiwa kuwa na ugonjwa huo nchini, Serikali imeshajiandaa kukabiliana na ugonjwa huo , ambao umeshaua zaidi ya watu 1,000 katika nchi za Afrika Magharibi.

Katika maandalizi hayo, Serikali imeagiza vituo kadhaa katika mikoa yote, kuwa tayari kutoa huduma endapo atatokea mgonjwa aliyepata maambukizi ya ugonjwa huo nchini kwa sababu kwa mujibu wa Dk Rashid, magonjwa hayatambui mipaka ya nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu hatua hizo, Waziri wa Afya na

Sehemu ya pili: Afisa Usalama wa Taifa "Shushushu" ni nani, anafanya nini?


Makala ya Evarist Chahali

Nianze sehemu hii ya pili ya mfululizo huu kwa kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote waliowasiliana nami kuhusiana na mada hii. Kutokana na mawasiliano hayo, nimetambua kuwa mada hii ina umuhimu wa aina yake. Nami ninaahidi kuwaletea kitu kilicho bora kabisa, kwa maana ya 'darasa' kamili lakini pasipo kukiuka wala kukizana na sheria au taratibu zinazolinda fani hii nyeti.

Katika sehemu hii ya pili, tutaangalia jinsi afisa usalama wa taifa anavyopatikana, au kwa kimombo ni recruitment process. Ni muhimu kueleza kwamba taratibu za kujiunga na taasisi za usalama wa taifa duniani kote hupaswa kufanywa kwa umakini mkubwa hasa kwa vile majukumu na wajibu wa shushushu kwa taifa yana umuhimu mkubwa sana.

Kwa nchi 'za wenzetu' kama Marekani na Uingereza, zoezi la uajiri hufanyika kwa uwazi kidogo, kwa

[audio] Kwanza Production na JhikoMan katika mahojiano

JhikoMan akitumbuiza kwenye Tamasha la Majahazi 2013

Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan aliyejiunga nasi moja kwa moja kutoka Helsinki Finland mwishoni mwa mwezi Julai.

Amezungumza mengi kuhusu ziara yake ya Ulaya iliyoanza mwezi wa nne, maonyesho aliyofanya, kazi alizorekodi na pia watu aliowashirikisha kwenye albamu yake mpya ijayo.

Amezungumzia IMANI ya RASTA na pia MUZIKI WA TANZANIA kwa ujumla.

Ameongea mengi mema.

KARIBU UJIUNGE NASI...Shukurani: Mubelwa Bandio

UKAWA kuandamana ikiwa Rais hatasitisha vikao vya BMK

Viongozi wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) nchini Tanzania wametishia kufanya maandamano ya nchi nzima iwapo Rais Jakaya Kikwete hatasitisha vikao vya Bunge Maalum la Katiba vinavyoendelea hivi sasa.

Viongozi hao, James Mbatia wa NCCR MAGEUZI, Profesa Ibrahim Lipumba wa CUF na Freeman Mbowe wa CHADEMA, wamesema UKAWA inaamini kwamba hakuna katiba itakayotengenezwa kwa kudharau maoni ya wananchi, na bila kuwa na maridhiano hivyo kuendelea na Bunge Maalum la Katiba ni kupoteza fedha nyingi za walipa kodi.

James Mbatia amesoma azimio hilo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Kiongozi mwingine wa UKAWA, Profesa Ibrahim Lipumba amesisitiza kwamba Rais alifanya kosa

Why voluntourism can be a complete waste of time, money - Pippa Biddle

The hair ties, hundreds of sparkly and metallic baubles, languished in big green duffel bags for the majority of my time in Tanzania. We handed out the pencils, rulers, and calculators we’d brought, but the hair ties stayed tucked away, out of sight and out of mind. Finally, on one of our last days there, we dug them out and repurposed them as brooches, bracelets, and chokers.

I was in Tanzania a few years ago as part of a trip organized by the private all-girls boarding school in Connecticut that I attended. Our group consisted of 15 students, most of whom were white, and a few teachers and chaperones. About $3,000 bought us a week at an orphanage, a few pickup soccer games, and a weeklong safari.

Our mission at the Bethsaida Orphans Girls Secondary School was to build a library. But it turned out that we, a group of highly educated high school students, couldn't deliver on this mission. We were so bad at the most basic construction work that, I found out later, the local men who were helping us had

Malawi and Tanzania move towards One-Stop Border Post

Malawi and the United Republic of Tanzania have taken the first step towards creation of a One Stop Border Post at the Songwe-Kasumulu entry point in a move aimed at facilitating the free movement of persons and goods between the two SADC Member States.

Officials from the two countries signed a Memorandum of Understanding (MoU) in March that formalized the creation of a single customs and immigration centre at their common border.

Under the MoU, the border posts of Kasumulu in Tanzania and Songwe in northern Malawi will be operating under one umbrella by the end of the year.

Under the one-stop border post scheme, travellers and goods are cleared just once for passage into another country in contrast with the current situation where they have to be sanctioned on both sides of

Tanzania officials in US say lifting ivory ban would help elephants

Officials from Tanzania visited Dallas on Thursday to discuss the country’s issues with poaching, including the U.S. ban on imported ivory.

Lazaro Nyalandu, Tanzania’s minister of natural resources and tourism, and several other officials met with representatives from the Dallas Safari Club and the Texas Parks and Wildlife Department Thursday morning. They talked about the African nation’s efforts to curb poaching and exchanged ideas about how to stop the illegal activity.

Nyalandu was in the U.S. this week as part of the U.S.-Africa Leaders Summit in Washington. He said he hoped to persuade U.S. officials to lift their ban on ivory imports made earlier this year in hopes of

Malawi rules out war with Tanzania over lake dispute

Malawian President Peter Mutharika on Tuesday ruled out the possibility of going to war with neighboring Tanzania over an ongoing border dispute involving Africa's third largest freshwater lake.

"Yes, I said [the] Lake Malawi issue is not negotiable, but we cannot go to war with Tanzania over the lake," President Mutharika told a press briefing.

During his presidential campaign, Mutharika had said the border dispute with Tanzania – which revolves around the disputed lake – was not negotiable.

But the newly-elected president confirmed on Tuesday that he had discussed the issue with Tanzanian

Bia ya Castle Lite yazindua promosheni ya “Lite Up The Weekend”

Wanahabari katika pozi la pamoja na wadau wa Castle Lite.
Wanahabari katika pozi la pamoja na wadau wa Castle Lite.Dar es Salaam, Agosti 11, 2014:

Bia maarufu ya Castle Lite, inayozalishwa na kusambazwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) leo imezindua rasmi promosheni ya aina yake itakayojulikana kama “Lite Up The Weekend”. Promotion hii ya aina yake hapa nchini itadumu kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Agosti hadi Octoba 2014.

Akizungumza katika uzinduzi huo, meneja wa Bia ya Castle Lite Geoffrey Makau alisema; Bia ya Castle Lite kwa mara nyingine tena inawaletea wapenzi wa bia hii habari nzuri na za kuvutia. Leo tunazindua promosheni kubwa itakayojulikana kama “Lite Up The Weekend”.

Hii ni promosheni kubwa itakayoendeshwa nchi nzima. Washindi watashiriki kwenye hii promosheni kupitia chupa za bia ambazo watatakiwa kutuma nambari ya siri iliyochini ya kizibo cha bia ya

Infographic: Ebola

Ebola
by Raj Kamal.

Tanzania yasaini mkataba wa kuanzisha Kampasi ya "African Institute for Mathematical Sciences - Next Einstein Initiative"Serikali ya Tanzania na Taasisi ya African Institute for Mathematical Sciences - Next Einstein Initiative (AIMS-NEI) wamesaini Mkataba wa Makubaliano kuanzishwa kwa kampasi ya taasisi hiyo nchini itakayofundisha na kuendeleza masomo ya Hisabati na Sayansi.

Mkataba huo umesainiwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome kwa upande wa Serikali na Bwana Thierry Zomahoun, Mkurugenzi Mtendaji wa AIMS-NEI jijini Dar es Salaam.

Profesa Mchome amesema kusainiwa kwa mkataba huo ni jitihada za Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha kuwa Taifa linakuwa na wataalam wa kutosha katika Nyanja za Hisabati na

Full list of finalists for CNN MultiChoice African Journalist of The Year 2014, Tanzanian Dickson Ng’hily is inCNN MultiChoice African Journalist of The Year 2014 competition which is in its 19th year, shortlisted 28 finalists from 10 countries across the continent.

This year the competition received entries from 38 countries.

Here is the full list of the finalists:
 1. Daniel Biaou Adje, ORTB, Benin
 2. Safia Berkouk, El Watan, Algeria
 3. Vinayak Bhardwaj M&G Centre for Investigative Journalism, Mail & Guardian, South Africa
 4. Tabelo Timse, M&G Centre for Investigative Journalism, Mail & Guardian, South Africa
 5. Romão Brandão, Jornal OPAÍS, Angola
 6. Sean Christie, Freelance for Landbouweekblad and The Mail & Guardian, South Africa
 7. Obinna Emelike, Business Day, Nigeria
 8. Ben Ezeamalu Premium Times, Nigeria
 9. Emmanuel Ogala, Premium Times, Nigeria
 10. Bob Koigi, Farmbizafrica.com, Kenya
 11. Joseph Mathenge, Freelance for The Saturday Nation, Kenya
 12. Anne Mawathe Citizen TV, Kenya
 13. Rashid Ibrahim, Citizen TV, Kenya
 14. Patrick Mayoyo, Daily Nation, Kenya
 15. Christine Muthee Media Development in Africa (MEDEVA), Kenya
 16. Oliver Oscar Ochanda, Media Development in Africa (MEDEVA), Kenya
 17. Dickson Ng’hily, The Guardian, Tanzania
 18. John Muchangi Njiru, The Star Newspaper, Kenya
 19. Olatunji Ololade, The Nation Newspaper, Nigeria
 20. Bayo Olupohunda, Columnist, Punch Newspaper, Nigeria
 21. Ossène Ouattara, Infoduzanzan.com, Côte d’Ivoire
 22. Brito Simango, Televisão de Moçambique, Moçambique
 23. Joy Summers Mnet Carte Blanche, South Africa
 24. Susan Comrie, Mnet Carte Blanche, South Africa
 25. Suy Kahofi, Freelance for West Africa Democracy Radio, Senegal
 26. Paballo Thekiso, Saturday Star, South Africa
 27. Bento Venancio, Jornal Domingo, Moçambique
 28. Evelyn Watta, Sportsnewsarena.com, Kenya
The finalists will enjoy all-expenses paid four day programme of workshops, media forums and networking in Dar es Salaam, Tanzania culminating in a Gala Award Ceremony on Saturday 18 October 2014.

New single: "Over and Over" by Bobby Mapesa feat. Vivian


Click the player below to listen

Milango 5 ya kipekee na ajabu duniani

Dozza (Bologna - Italy) by Francesca Birini.
Red door in the Hutong, Beijing, China.

Door in Bali, Indonesia.
Red door in Prague.
Talented graffiti artist El Mac adds a touch of beauty to gritty urban landscapes around the world with his stunning and almost dream-like photorealistic murals, like the one on this door in Milan.

via oddee.com

Meshack Maganga: Nafasi ya malengo na ndoto katika mafanikio (2)Na: Meshack Maganga, Iringa.

Ndugu zangu, katika makala iliyopita namba moja, tuliangalia kwa mapana nafasi ya malengo na ndoto katika kukufikisha unapotaka katika Nyanja zote za kimaisha. Wiki hii mimi na rafiki zangu amabo kwa pamoja tunaunda kikundi cha WAKULIMA WA KISASA-TANZANIA, tulibahatika kutembelea maonyesho ya sikukuu ya wakulima mkoani Morogoro, tuliyojifunza na kuyaona yanahitaji makala nzima, wiki ijayo nitaandika jinsi umoja wetu ulivyo anza na tunafanya nini.

Leo katika sehemu ya pili nay a mwisho ya makala hii, tutaendelea kuangalia nafasi ya malengo na ndoto, mifano kadhaa ya watu waliotumia ndoto na malengo yao itatolewa na kufafanuliwa kwa kifupi sana.

Kama tunavyojua na kufahamu ( Labda kama hufahamu) hakuna binadamu chini ya jua tangu enzi za kati za mawe, aliye wahi kufanikiwa zaidi ya anavyo waza. Ukiwaza kwamba maisha ni magumu, maisha magumu yatakuandama, hii ni kanuni na inafanya kazi kabisa (The Law of Attraction). Ukiwaza juu ya uzuri wa dunia, juu ya uzuri wa ubara lako, juu ya uzuri wan nchi ya Tanzania na

Job opportunity at the Irish Embassy in Tanzania
Vacancy: Governance Advisor

Irish Aid is the Government of Ireland’s programme of assistance to developing countries operating under the Embassy of Ireland in Tanzania. The programme focuses on Health, Nutrition and Agriculture, with a strong governance component supporting the achievement of results across the programme.

The Embassy is seeking to recruit a highly motivated and experienced Governance Advisor to join its Development Team. Reporting to the Senior Governance Adviser and working with the Governance Team and across the other teams at the Embassy, the successful candidate will be expected to contribute to the delivery of a high quality programme. He/she will have responsibility for management of a