Posts

Showing posts from November, 2025

Jinsi ya kuwasiliana na walioko Tanzania kwa kutumia Google Voice ama VoIP

Kama uko Marekani au Canada , unaweza ku-install Google Voice na kuitumia kupiga simu kwenye namba ya mtu moja kwa moja aliyeko Tanzania. Natoa maelekezo kwa wanaotumia simu za Android (sina iPhone hivyo sijui kama mtiririko wa maelezo unafanana)  Install Google Voice ( https://play.google.com/store/apps/details?id=com.google.android.apps.googlevoice )  Open na kufuata maelekezo ya kujiandikisha na kupata namba ya bure Bonyeza hamburger menu (mistari mitatu juu kushoto)  Bonyeza "Credit"  Bonyeza nukta tatu (three dots) juu kulia  Bonyeza Add Credit chagua na fuata maelekezo  Rudi kwenye Google Voice na piga namba kutoka kwenye contact list yako au kwa kutumia dial pad Angalizo: Kama utapiga kwa kutumia Google Voice na isitoe mlio wa kuita simu, kata kisha jaribu kupiga tena na tena, eventually itaita namba unayoipigia. Unapaswa kuendelea kukata na kujaribu tena na tena. Kama huwezi kutumia Google Voice, jaribu mbadala wa VoIP nyingine, unaweza kujaribu zi...